Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

Na hii yote aliisababisha Mwapachu kwa kauli yake ya kuruhusi 'Majambazi' kuuawa on the spot, na watu wakatahadharisha polisi kutumia vibaya kauli, ilikuwa mwaka 2006 nakumbuka.
 
Katika hii kesi kuna dogo mmoja polisi ambae alikufa katika mazingira ya kutatanisha. Alieleza ukweli kabla hajafia gerezani. Dogo mmoja mchagga nasahau jina. Naona nafsi na imani yake ya kidini vilikua vinamsuta

Alifia ocean road kama sikosei
 
Sema kuna mambo mengine yanasikitisha sana....Angalia au fuatilia case hii uone watu walivyowakatili
 
LAKINI WOTE WALIPANGA KUTEKA NA KUUA... kwani umeambiwa hapo kesi ni kuua tu???
 
The world is not Fair.

Anayeua auawe tu
Hii ya kulinganisha rate of crimes kwa nchi zinazotekeleza adhabu ya kifo cha wingi na zile zimazotekeleza kwa uchache na kisha kuweka hitimisho, sio sahihi sana, ni kweli, kwa mfano Marekani ni moja ya nchi zinazotkeleza kwa wingi adhabu ya kunyonga, tena wao hawanyongi, wana kiti cha umeme, lakini uharifu wa mauaji ni mkubwa zaidi ukilinganisha na nchi zingine.. Hii siyo hoja..

Wingi wa uharifu unatofautiana nchi na nchi kutokana na nature ya nchi husika na sababu nyingine nyingi, Pulchra Animo unataka kusema kuwa Marekani ikiondoa adhabu ya kifo kwenye sheria zake uharifu utapungua? Not likely!!

Wewe unapendekeza nini badala ya adhabu ya kifo? kifungo tu basi?!
 
Mmh nani aliwaua mkuu???
 
Una hoja lakini umeshindwa kuijenga. Kusema kuwa ''hata kama muuaji akinyongwa, roho ya aliyeuawa hairudi au familia yake iliyobaki haitokuwa na maisha bora zaidi'' ni sababu mbovu sana isiyo na mashiko. Kwa taarifa yako ni kuwa adhabu huwa zinatolewa ili mkosaji apate adhabu ya alichofanya na kuwafanya raia wengine waache kutenda makosa. Na kusema kuwa mbona adhabu haifanyi watu waache kuua nako unaweza usiwe sahihi. Je hujui pengine isingekuwepo basi ni watu wengi zaidi wangekuwa wanaua kuliko ilivyo sasa? All in all, adhabu ya kifo hata mimi naipinga kwani ni vigumu sana kuwa na hukumu ya halali. Kila mtu anauwa katika mazingira tofauti na sababu tofauti hivyo kunyonga kunaadhibu wengine ambao hawakustahili na kama ulivyosema ni very primitive.
 
Duuh balaa sana... Sasa why Bageni ahukumiwe kunyongwa au yeye ndo alitoa amri jamaa wauliwee??
 
Huyu nadhani alifanya kazi ya ziada kuchomoa, ingekuwa utawala huu nadhani angekuwa ananyea ndoo
Huu utawala unaujua vizuri au unaongea tu? Huyo Zombe si alikuwa polisi au? Mkuu alipendekeza polisi asishtakiwe kwa jambo lolote atakalofanya akiwa katika kutimiza majukumu yake!
 
Hujahitimisha vzr baada ya kufuta adhabu hiyo nn kifanyike,ama adhabu gani ingefaa zaidi nk
 
Sasa huyo jamaa alikuwa ajulikani au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…