Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

Subiri na wewe uuawe kwanza ndio utajua kama hukumu hiyo inafaa au haifai [emoji3]
 
Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ki ukweli hasingiziwagwi mtu Hiyo..ukiona mtu kahukumiwa hivyo Ujue kastahili...kama kuna kusingiziwa na kuonewa RUFAA itamtoa tuuu,ikibuma rufaa ya 1 itakuja ya 2 na ya 3 Baada ya hapo ni Uende tu.

wauaji wote walio ua kwa makusudi HAKI YAO ni kunyongwa TU hata kama kunyongwa kwao hakurudishi uhai wa marehemu waliotangulia ila atleast bana.
 
Naona mwandishi kachanganya kati ya "rufaa" yaani "appeal" na "mapitio" yaani reference
Kuna tofauti ya "rufaa" yaani "appeal" na "mapitio" yaani "reference".
Reference ni kuomba mahakama kupitia upya uamuzi wake wa awali au uamuzi wa mahakama nyingine ya chini, kiitifaki.
Lengo la kuomba reference ni ili mahakama ijiridhishe kama utaratibu ulifuatwa.
Hapa, huyu mtuhumiwa ameiomba mahakama ya Rufaa kupitia upya hukumu yake.
Kukata rufaa, yaani appeal, maana yake ni kufungua kesi mahakama ya juu kupinga maamuzi ya mahakama ya chini
 
Kwa maelezo haya hata mi nimeelewa sasa
 
Huu utawala unaujua vizuri au unaongea tu? Huyo Zombe si alikuwa polisi au? Mkuu alipendekeza polisi asishtakiwe kwa jambo lolote atakalofanya akiwa katika kutimiza majukumu yake!
Ndio maana huyu kakata rufaa sasa, ataachiwa.
 
Ingekuwa vizuri ungemtaja kwa majina huyo mfatua risasi ili akionekana popote pale akamatwe.
Yule mbona ni kama alitoroshwa na wahusika ili kuficha mambo? Wangekuwa wanamtafuta kwa nia zote wangempata. Labda bidii inatakiwa ifanywe na ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu kwani mimi sidhani kama serikali ina nia ya kumkamata.
 
Kweli mnyonge hana haki. Nakumbuka namna wafanyabiashara wale walivyouwa na polisi huku madini yakichukuliwa. Yeye kufa anaona si haki yake
 
Actually mi nimewaza kama hawa wote walikua wanatumia risasi ya aina moja si kuna wezekana wa empty magazine moja wakagawana risasi zikajaa... Hlf mmoja akawa chambo.. au inawezekana ikawa pia hyo bunduki moja ilikua haina mtu .. ila mtu katengenezwa km decoy tu kuonyesha km alikuweko tu.
 
Sasa wale marehemu si walibakia na risasi au??? zile risasi zinatoa information zote pamoja na aina ya bunduki iliyotumikaa.. Nani mmiliki wakee... So kama zilifanana na za jeshi la polisi means polisi waliwashoot jamaa
 
Kuna watu makatili sana, badala ya kuwapeleka kituoni , unawapeleka watu msitu wa Pande nje ya mji kisha unawafyatulia risasi wote .
 
Sasa wale marehemu si walibakia na risasi au??? zile risasi zinatoa information zote pamoja na aina ya bunduki iliyotumikaa.. Nani mmiliki wakee... So kama zilifanana na za jeshi la polisi means polisi waliwashoot jamaa
Exactly.... Na ndo nasema inawezekana wote walishoot then wakagawana risasi kujaza bunduki zao hyo moja ndo ikawa chambo iwapo walikua wanatumia silaha zinazofanana. Cjui km kipindi hcho kama watu wa forensic walikua na technology ya kuchek finger prints ingekua rahisi kujua mwenye silaha coz akijaza risasi finger prints zinabaki. We need tech aiseee.
 
Yule mbona ni kama alitoroshwa na wahusika ili kuficha mambo? Wangekuwa wanamtafuta kwa nia zote wangempata. Labda bidii inatakiwa ifanywe na ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu kwani mimi sidhani kama serikali ina nia ya kumkamata.
Akipatikana atasababisha mengi zaidi kufukuliwa. Huenda hata hatunaye tena Duniani huyu "Mtafutwaji"...
 
Noma sanaa hii...!! Sema kesi hii ni techn...
 
Kesi kama hizi zipo nyingi sana na hukumu ipo
Nchi zingine wanaofanya ukatili kama huu wakihukumiwa maisha huwa wanamalizwa jela tu
 
Akipatikana atasababisha mengi zaidi kufukuliwa. Huenda hata hatunaye tena Duniani huyu "Mtafutwaji"...
Umesema kweli kabisa. Yule ndiye alikuwa awaingize kwenye mtego wa panya waliokuwemo na wasiokuwemo. Infact ile amri ya kuwaua ilitolewa na Zombe. Ila wale askari wote waliokuwa na watuhumiwa hawawezi kuepuka lawama, pengine hata kuliko Zombe mwenyewe. Walikuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua kama wale ni majambazi kweli lakini kutokana na kuwa na uroho wa kuchukuwa zile fedha walizowakamata nazo wale marehemu basi wakakimbilia kuwaua haraka.
 
Mgiriki upo sahihi kabisa Mkuu mimi nilifatilia sana kwa sababu nakwambia watu wakitangazwa majambazi ikabidi Wananchi ambao ni wanandugu walisafiri kuja kujua imekuaje wao walidhani dereva wa taxi ndio kawauza walipofika Sinza pale wakaambiwa mbona na dereva nae alikuepo kwenye tukio na yule dereva watu wanamfahamu ndio kwenda kituoni kutoa taarifa walifukuzwa Urafiki hapo ikabidi waende Makao makuu na kusikilizwa mazingira ya ile kesi sio mtu mmoja anatakiwa awe na hatia bhana ingawaje wengine hawakuua ila gari ilitumika kuwabeba dereva alikuepo,aliewaaminisha Wananchi kuwa ni majambazi order ilitoka wapi mpaka watangazwe majambazi mtiririko ni mkubwa ila ndio hivyo tena...
 
Naikumbuka hii kesi jaji mkuu wa sasahiv kipindi hicho yupo UDSM aliandika page 600 kuhusu hii kesi(genius) .lazma wanyee debe hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…