Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

Anajua anachokifanya
 
Kwa style hio CCM ingeua wanachama wengi sanaaa,
Mana wapinzani karibu 98% wametoka CCM
 
Ukweli mchungu huu hili la usaliti liko Tanzania na Hakuna sample hata Moja aliwahi fanyiwa hili hat hvyo kesi za namna hi Kuna wengi watakomolewa na serekali
Usaliti kwenye siasa ni sawa na maji na samaki mkuu,
Taja nchi isiyo na usaliti kwenye siasa,

USA, Donald Trump kahama vyans karibu mara 4 huyu naona alivuka level ya usaliti kabisa,

Hapo kenya ndo ovyo kabisa usaliti no nje nje .

Yan kwenye siasa na usaliti ni pete na kidole
 
Wabunge wote 19 watalamba U DC baada ya 2025 election.Mashinji yupo serikqlini,huyu alikuwa Katibu Mkuu,Mtatiro yupo kimya sasa anakula kiulaini.Maisha ni mafupi.Mrema kaondoka kachoka,Cheyo anatembelea choke,Lipumba kwishney,Slaa angalau aliambulia.Kuwa upinzani ni kujitoa mhanga.
 
Hivyo ndivyo walivyopanga lakini haitowezekana , ccm inaangushwa 2025
 
usiishie hapo, sema mchepuko wa salum mwalimu wavaa sare za ccm. hapo jioni akivua hayo magwanda wanakutana pamoja na kujifunika shuka moja. ndo maana tunasema kitafutwe chama kingine kipya kitakachobadili hii chadema ya mbowe.
 
usiishie hapo, sema mchepuko wa salum mwalimu wavaa sare za ccm. hapo jioni akivua hayo magwanda wanakutana pamoja na kujifunika shuka moja. ndo maana tunasema kitafutwe chama kingine kipya kitakachobadili hii chadema ya mbowe.
Jikite kwenye mada
 
Ila kwa hao 19 roho zinawapwita wawaache

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kwa style hio CCM ingeua wanachama wengi sanaaa,
Mana wapinzani karibu 98% wametoka CCM
Nadhani huelewi tunaongea nini. Mtu kujitanabaisha kuwa ni CCM haina shida kwa wa Chadema hivyo hivyo kinyume chake.
Lakini haiwezekani mwanachadema kutenda ya CCM au wa ccm kutenda ya Chadema.
Hivi mkeo ni sahihi kuwa ana lala na jirani adui yako?
 
Hawa tunawajua tangu enzi za mwendazake walichagua kuangalia matumbo yao badala ya kupigania haki
 
Bora tu awe huru ndani ya chama kipya.....kila la kheri
 
Mbona kazeeka haraka? Huko ccm kuna nini? Vijana kamq wazee
 
Ni kama vile Fei toto akatoka Yanga akahamia Azam, John Boko akatoka Azam akaenda Simba...
...au mtu atoke Vodacom ahamie Tigo au Airtel. Pipo zinaangalia maslahi, nadhani hata siasani ni the same, japo inabeba sana hisia za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…