Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

Hawakustahili kufukuzwa
 
Wana account ya pamoja ya kuhonga kila upande ili kesi zao zikawie waendelee ubunge hadi 2025. Saa hizi wamechukua mbinu ya low profile ili shauri lao litoke kwenye vichwa vya habari huku wakipiga hela ya umma isivyo halali.
 
Ni kweli kapendeza. Hayo magwanda ya kaki yalikuwa yanawaharibia hadi kukosa wanaume wa kuwaoa. Kumbe ni warembo hivyo. Wekeni basi na ile ya Halima (kutoka photo shops zenu) akiwa kwenye kijani.
Halima atapendeza sana yaani, aguswe tu huko alipo😀
 
Nilivyoshuhudia David Silinde akibadili gia, nilipigwa butwaa kwa siku kadhaa. Tangu siku hiyo ni kama nimeshazoea, kitakachotokea tena sitakishangaa
 
Hapana, mbona ni unifomu kwani inabendera yataifa na jina lake.
 
Tusiwacheke au kuwalaumu imefika hatua ambayo kila mmoja wetu anataka ku survive regardless ya njia anayotumia.

Umerlayer wa kisiasa ni njia ya kusurvive.
 
Duuh hata siamini nachoona. Hivi ni huyu "Nusrat binti chadema" aliyekua chadema lia lia kipindi anazunguka na kamanda mawazo kanda ya ziwa kujenga chama?

Aisee kweli "politics" is a game of opportunities.
Huyu binti nilimuona mara ya kwanza kwenye kipima joto... alikuwa mpambanaji kweli kweli... lakini kama Yuda alikaa na Yesu na bado akamsaliti, itakuwa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…