Cha ajabu kesho Tumbili akihojiwa juu ya Werema utasikia "...pengo lake halizibiki"Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimporomosha kisiasa Kafulila
Jana Tanzia ilikua huko tume ya uchaguzi Leo ni MwanasheriaNi taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.
He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.
Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimporomosha kisiasa Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.
_____
View attachment 3188621
ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili.
Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake.
Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na serikali.
Jaji Werema, alijiuzulu uanasheria mkuu wa Serikali, tarehe 16 Desemba, 2014 baada ya kuhusishwa na kashfa ya Escrow iliyosababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu.
Waliochota wote mabilioni ndio wakamzike kigogo mwenzao,poleni mlioguswa na msibaNi taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.
He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.
Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimporomosha kisiasa Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.
_____
View attachment 3188621
ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili.
Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake.
Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na serikali.
Jaji Werema, alijiuzulu uanasheria mkuu wa Serikali, tarehe 16 Desemba, 2014 baada ya kuhusishwa na kashfa ya Escrow iliyosababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu.
Pumaff. Hukumbuki Mikasa kibao hadi akatimliwa?!! Hiyo pesa nibyetu walipakodi. Jua wewe zwazwaKwa kipi akuibie? Umevaa sana yeboyebo
CCMKwa kipi akuibie? Umevaa sana yeboyebo
Tukiorodhesha mtikisikoHuu mwaka uishe tu.
Pole wafiwa wote.
Watu wanafichama mkuuHuyu mbona tuliambiwa anaishi Marekani
Nimeshangaa sana, kuna ndugu yake hadi dakika hii anasema Werema yuko MarekaniWatu wanafichama mkuu
Hapo ndio tunapata maana halisi ya
Mficha maradhi,!?
Kwa hiyo hajafa?Nimeshangaa sana, kuna ndugu yake hadi dakika hii anasema Werema yuko Marekani
Ndivyo anavyoamini, ila nimemtumia link asome atafute nauli aende msibaniKwa hiyo hajafa?
Ndio m,ee wa Tumbili?Ni taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.
He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.
Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimpiga laana ya kisiasa na kumporomosha Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.