Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa Marekani au Tarime?Ndivyo anavyoamini, ila nimemtumia link asome atafute nauli aende msibani
Mzee wa Tumbili? Sio.huyu?Mimi nmetoka tumboni mwa mama yangu nikiwa tupu, nami nitarudi vumbini vile vile.
Mungu anapotupa Pumzi zake, Mali na Fedha na Nafasi , tuwe sehem ya Furaha Kwa wengine.
Duniani tunapita, ikiwa mwanadam sekunde chache kabla ya kukata Roho angekua na Ufaham wake timamu kabisa, naye akaambiwa apewe nafasi Moja tu ya kusahihisha Mahali alipokosea, WATU wengi wangegawa sehem za urithi wao Kwa Yatima, Masikini na Wahitaji.
Hapa suala sio kufa, Bali Unazungumziwaje baada ya Kufa.
Pole kwa WafiwaNi taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.
He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.
Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimpiga laana ya kisiasa na kumporomosha Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.
_____
View attachment 3188621
ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili.
Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake.
Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na serikali.
Jaji Werema, alijiuzulu uanasheria mkuu wa Serikali, tarehe 16 Desemba, 2014 baada ya kuhusishwa na kashfa ya Escrow iliyosababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu.
RiPNi taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.
He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.
Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimpiga laana ya kisiasa na kumporomosha Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.
_____
View attachment 3188621
ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili.
Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake.
Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na serikali.
Jaji Werema, alijiuzulu uanasheria mkuu wa Serikali, tarehe 16 Desemba, 2014 baada ya kuhusishwa na kashfa ya Escrow iliyosababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu.
Wizi WA kura,na Mali za maskini!Ni taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.
He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.
Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimpiga laana ya kisiasa na kumporomosha Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.
_____
View attachment 3188621
ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili.
Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake.
Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na serikali.
Jaji Werema, alijiuzulu uanasheria mkuu wa Serikali, tarehe 16 Desemba, 2014 baada ya kuhusishwa na kashfa ya Escrow iliyosababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu.
Kwaheri aWeremaHuyu ndiye alimuita Kafulila tumbili??
ChoiceVariable
wewe hujaguswa?Mwenyezi Mungu awafariji wote walioguswa na msiba huu
Kama alitenda wema naapokelewe kuingana na anachostahili peponiWizi WA kura,na Mali za maskini!
Heri mie kuliko wewe ulowekwa rumenyaKodi uliyolipa sana ni ya nyumba huko Tandale
Ngoja nisogee msibani kwa jiraniwanamzika wapi huyu mura? mbele yake nyuma.yetu
Nipo hapaNgoja nisogee msibani kwa jirani
Ova