TANZIA Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mstaafu Frederick Werema afariki dunia

Mimi nmetoka tumboni mwa mama yangu nikiwa tupu, nami nitarudi vumbini vile vile.

Mungu anapotupa Pumzi zake, Mali na Fedha na Nafasi , tuwe sehem ya Furaha Kwa wengine.

Duniani tunapita, ikiwa mwanadam sekunde chache kabla ya kukata Roho angekua na Ufaham wake timamu kabisa, naye akaambiwa apewe nafasi Moja tu ya kusahihisha Mahali alipokosea, WATU wengi wangegawa sehem za urithi wao Kwa Yatima, Masikini na Wahitaji.


Hapa suala sio kufa, Bali Unazungumziwaje baada ya Kufa.
 
Mzee wa Tumbili? Sio.huyu?
 
Pole kwa Wafiwa
 
RiP
 
Wizi WA kura,na Mali za maskini!
 
Frederick Mwita Werema (born 10 October 1955) = 69 Years old🫢


Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…