TANZIA Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mstaafu Frederick Werema afariki dunia

Pole sana kwa ndugu, jamaa na familia. Huyu mzee aliteswa sana na Kafulira kipinddi akihudumu bungeni kama mwanasheria wa serikali.
 
Kanisa letu hili katoliki huwa linachagua vigogo wawe viongozi ndani ya kanisa ! Sikiliza kwenye ibada ya mazishi atakavyo miminiwa kila aina ya sifa njema.

Ajaliwe kupumzika kwa amani 🙏
 
Laiti viongozi wa Ccm wange kuwa wana jua hatma yetu wote ndio hii, wange tenda mema hapa Duniani. Lakini kwa yanayo endelea kwenye hii nchi, tuseme tuu kwamba Mungu amuweke mahali panapo mstahiki
 
Apumzike Kwa Amani..

..Ni Hayo Tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…