TANZIA Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mstaafu Frederick Werema afariki dunia

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.

He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.

Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimpiga laana ya kisiasa na kumporomosha Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.

_____

werema+px-1026912234.jpg

ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili.

Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake.

Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na serikali.

Jaji Werema, alijiuzulu uanasheria mkuu wa Serikali, tarehe 16 Desemba, 2014 baada ya kuhusishwa na kashfa ya Escrow iliyosababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu.

======== ======

Akizungumza na JamiiForums, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ametoa neno kuhusu msiba wa Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Jaji Fredrick Werema:

"Tumepokea kwa masikitiko msiba wa Jaji Werema, kama wote tunavyofahamu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, alikuwa ni mtu ambaye anafuata weledi katika kuisaidia Serikali kwenye masuala ya Sheria.

"Tunatoa pole kwa familia, ndugu na wengine wote walioguswa na msiba huo.

"Alikuwa kiongozi mzuri na mchango wake ulikuwa bado unahitajika kwenye Jamii, hatuna cha kufanya kwa kuwa hiyo ni mipango ya Mungu."
 
Ni taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.

He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.

Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimporomosha kisiasa Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.

_____

View attachment 3188621

ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili.

Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake.

Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na serikali.

Jaji Werema, alijiuzulu uanasheria mkuu wa Serikali, tarehe 16 Desemba, 2014 baada ya kuhusishwa na kashfa ya Escrow iliyosababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu ameondoka na kumuacha Tumbili kafulila anakula maisha
 
Ni taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.

He has closed his case in this world. Rest in peace the former head of the bar.

Wakati akiwa Mwanasheria Mkuu, pale bungeni aliibuka na kauli ya "tumbili" ambayo ilimporomosha kisiasa Kafulila, kutoka kuwa mbunge mpaka sasa ni muajiriwa tu akisaini kama watumishi wengine pale Wizara ya Fedha.

_____

View attachment 3188621

ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili.

Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake.

Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na serikali.

Jaji Werema, alijiuzulu uanasheria mkuu wa Serikali, tarehe 16 Desemba, 2014 baada ya kuhusishwa na kashfa ya Escrow iliyosababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu.
Huyu fisadi alituibia sana.
 
Back
Top Bottom