Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye uhalisia wa maisha hakuna neno WE
Nafsi ya pili wingi haipo ipo kwenye kiswahili cha kufundishia tu

Maisha yako ni wajibu wako utaamua wewe uishi kama fukara au bwanyeye ni maamuzi yako

Harakati hazitakuletea kibaba cha mchele
 
 
Nimefurahishwa sana na hii habari. Msigwa kafanya uamuzi sahihi wa kukataa kumtumikia Mbowe na kuamua kuwatumikia watanzania wote. Historia itamkumbuka kama mwanasiasa shujaa aliyemkataa Sultani Mbowe na udikteta wake.
 
Vijana wa Tz, tupite kuwasalimia hawa wanasiasa walaghai, kama vijana wenzetu wakenya walivyopita kwenye majumba ya wanasiasa wao kusalimia
 
Njaa mbaya sana
 
Katimiza haki yake kikatiba.
Wengine tulishaacha kuamini mwanasiasa yoyote wa kitanzania toka 2015
 
Siasa ni biashara chafu t
TUISHI HUMO
 
Mchungaji peter Msigwa kajiunga na Ccm...hivyo ngome ya upinza kura zimeanza kupungua. Adui akikushinda ungana naye.
 
Kwenye uhalisia wa maisha hakuna neno WE
Nafsi ya pili wingi haipo ipo kwenye kiswahili cha kufundishia tu

Maisha yako ni wajibu wako utaamua wewe uishi kama fukara au bwanyeye ni maamuzi yako

Harakati hazitakuletea kibaba cha mchele
Elimu yako ndogo pengine? Au lack of exposure? What ''harakati'' are you talking about? Kama ni harakati za kisiasa basi nakuhakikishia kwa asilimia 100 kuwa zitakuletea kibaba cha mchele. Uongozi wa nchi una-relate kwa kila hali na maisha yako na majirani zako directly! Hili sihitaji kukufunza. Na upande wa pili wa shilingi: hata ukiwa na maisha mazuri sana, bado uongozi mbovu utakuathiri. Au mpaka nikuambie kuwa akija jambazi wakati umestarehe nyumbani kwako akakutoa uhai vina uhusiano na uongozi wa nchi?
 
Mwanasiasa kutoka hapa kwenda pale haliwezi kuwa jambo la ajabu, sijui kwanini limewashangaza wengi, waliondoka kina Zitto, Dk Slaa, bado mnashangaa Msigwa kuondoka?!

Bila shaka watafuata wakina Mdee, ajabu mtashangaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…