Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Ile hotuba/speech yake bungeni naichukulia kama the best speech ever niliyowahi kuisikia toka nimeanza kufuatilia bunge.Wampe ka cheo sasa! Ukuu wa Mkoa au UDC au ukurugenzi taasisi fulani.
Ila tukubaliane "Respect" atakosa. Kila la kheri kwenye maisha mapya ya kuwa "Doubtful" yaani ya kukana ulichokuwa unakisimamia awali.
Yaani leo aanze akane ile kauli ya Einstein aliyokuwa anaisimamia kwamba "Matatizo yetu hayawezi kutatuliwa na fikra ile ile iliyoyatengeneza" 😁
Quote ingine ya Albert Einstein aliyotumia that day ni kuhusu "Insanity", doing the same thing over and over again and expecting different result.
Ni mtu mzuri kujenga hoja, nadhan njaa imempiga kias ndio kahamia huko.