Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna ubaya mwanampotevu kurudi nyumbani

Kidumu chama Cha Mapinduzi
 
Nilipoona zile mic za TBC, Channel 10 na za machawa wengine kwenye ile press yake nikajua tu ni swala la muda.

Ni haki yake pia kikatiba, kaokote okote na wewe Msigwa pesa za raia, ni aibu kuzidiwa mtonyo mpaka na Ally Hapi πŸ˜ƒ
 
Lisu kapata salamu kutoka kwa Mbowe na team Lisu yao

Salamu za Mbowe ziwafikie Timu Lisu popote walipo ndani na nje ya nchi
Hakuna timu yoyote ile, mchungaji kajichanganya mwenyewe. Kila taasisi kubwa duniani lazima ijengwe kwa pillars ( nguzo) namojawapo ya nguzo kubwa sana ni nidhamu.
 
Tofauti na hii comment ya leo, n lin uliwahi kusema huna imani na msigwa? Em leta uthibitisho ili tuamini mana isije ikawa unamsingzia kisa tayari amewakimbia
 
Wanasiasa wa upinzani wa Tanzania hawana nia ya dhati kutoka moyoni kulikomboa Taifa hili.

Wanasiasa hawa wanatafuta "maslahi yao na watoto wao". Siasa ni "fursa" kama fursa zingine.

Kwa kulitambua hili mapema ndiyo maana huwa napinga sana watu kutumiwa na wanasiasa kwenye maandamano.

Unaandamana, unapigwa, unaumizwa halafu mwisho wa siku yule yule aliyekuwa anakuhimiza kuandamana anaenda kujiunga na wale wale aliokuwa anawaita wana "akili ndogo".

Sisi Watanzania hatuandamani sababu sisi sio "waoga", sisi tuna akili, na hatuko tayari kutumiwa na wanasiasa uchwara kama condom au toilet paper.

Msigwa kaenda CCM, muda sio mrefu mtasikia kalamba uteuzi. Vijana mliokuwa mkishiriki maandamano pamoja na kina Msigwa miaka hiyo mnajisikiaje kutumiwa kama "condom"??

If you know you know
 
Sijui kama wengi watakuelewa. Kuna mwanasiasa mmoja alisema CCM ni kama kokoro, linavuta kila aina ya wanasiasa.
 
Kila la heri Msigwa, wenzako wote walijua hilo na wakanyamaza kimya, toka uwaalike Channel 10 na TBC ilijulikana
Pole sana mkuu, ety mkanyamaza kimya πŸ˜‚ leo mumeo ana stress sana jitahidi kutomuudhi
 
Tofauti na hii comment ya leo, n lin uliwahi kusema huna imani na msigwa? Em leta uthibitisho ili tuamini mana isije ikawa unamsingzia kisa tayari amewakimbia
Pitia post ya Msigwa kutaka kulipiwa hela ya kutoka gerezani na dhalimu Magu. Ndani ya cdm nina imani na Lisu tu, hao wengine naishi nao kwa akili.
 
Sitakaa nikaamini SIASA hii nchi. Mchaguane wenyewe.
 
Lowassa alipewa sh ngap kuhamia Chadema
 
Pitia post ya Msigwa kutaka kulipiwa hela ya kutoka gerezani na dhalimu Magu. Ndani ya cdm nina imani na Lisu tu, hao wengine naishi nao kwa akili.
Nataka comment yako ww kuonyesha huna imani na msigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…