Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siikubali ccm ila upinzani ndio siwaamini kabisa.
 
Siasa ni ujinga aisee,watu wapo kwa ajili ya matumbo yao. Never trust them
 
tuskisma tunaambiwa wadini. DK SLaa , mchungaji msigwa, Gwajima ni mfano tu. chadema wawe macho na viongozi wa dini wanaokuja kwao. Sheikh Ponda tangu 1920 mpaka leo yule yule
 
Haja hamia
Sema karudi kwao.
Ame maliza task aliyo tumwa
Ambayo ameshindwa kuifanikisha..
 
Katika siasa kila tukio huwa limepangwa kutokea.
At least kwa muda watu wajadili kwa muda "usaliti" wa Msigwa waachane na mambo ya Mpina na sukari

System ipumue kwa muda

Tukija kushtuka uchaguzi wa Serikali za Mitaa huu hapa

Aahaaa
 
Chadema kama wana akili wafike bei Kwa mpina halafu tulinganishe nani kanunua garasa
 
Election transfer window imeanza
 
Nilidhan afariki funis
Nilidhani......afariki Dunia.
 

Siasa siyo ugomvi. Hizo sasa ndiyo zile siasa za kistaarabu.

CCM wana imani na Msigwa. Bila shaka hata na mwamba, na labda hata na wale wengine.

Hiiiiiiii Baghosha! 🤣🤣

MK254, Kigogo Mzee wacheni kushupaza shingo. Mwaiona hii mambo huku?

Mboni hata huko Palestina na Isiraeli au Ukraina na Urussia inawezekana tu?

Maisha ni mafupi ndugu zangu, johnthebaptist tusiuane tu.
 
chadema wamesipo mpa heche uenyekiti, itkufa kifoo kibaya saaaaana,
 
Mchungaji anaenda kulamba asali 2025

Naibu waziri mpya , wizara ya nchi,ofisi ya raisi,menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…