Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona walisema Magufuli ndiye aliyekuwa ananunua wapinzani, Sasahivi nini kimetokea?Nilisema Tanganyika hamna mpinzani wa Kweli wote ni waganga njaa hata Mbowe mkubwa wao akinyanganywa wenyekiti anahama hiki chama chake.Makamba aliisha wahi kuusema ukweli,kuwa ukitaka kuangamiza chadema penyeza rupia kwa viongozi labda Slaa tu ndiye hauwezi kumpata.chadema hadi kufika uchaguzi watakuwa hoi sana hawawezi kuchuana na CCM.
 
Za chini ya kapeti sultani anapokelewa dodoma makao makuu mapema mwezi Agosti. Maandalizi yanaendelea kwaajili ya ujio huo mzito. Kwako afande mzakiruu....
 
Watababaika sana kuelekea ukombozi wa Tanganyika.
Lissu, Lisssu, Lisssssuu pasua anga.
 
Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.
Pole mkuu.
Tangu pale Mbowe alipomkaribisha Lowassa ndani ya Chadema niliacha kuamini siasa na wanasiasa.
Siasa ni mchezo wa kinafiki.
 
Mchungaji ungejiuliza kwanza kama Zitto na Kitila walishindwa mapinduzi, Dr. Kaburu pamoja na ushawishi wake wote akaishia na aibu , Dr. Slaa ikashindikana kabisa pamoja na vi press vyake eti nchi inakwenda kumeguka...hivi wewe ungeweza kweli kuunda kundi la Lissu ati ndiyo autake wenyekiti kwa Mbowe kwa mapinduzi yaani ugusanishe nyaya...kweli mchungaji yaani pamoja na kukaa kwako kote CDM kumbe bado ukikiwa hauijui.

ha ha ha ha.
 
Watu hatari ndani ya CCM ni mzee Maganda wa Hai, Msigwa, na Mzee WA meno ya tembo
 
Sasa tutajuaje labla unasema huna imani nae kisa amewakimbia
Narudia tena sikuwa na imani naye, na uwepo wake cdm nilikuwa naona kero tupu, maana mara atishie sijui Magufuli angenipa uwaziri na nonsense za aian hiyo. Sinaga shobo na watu aina hiyo.
 
Soma Mwenyewe halafu Tafakari

View attachment 3029878
Mnajidanganya tu mngejua CCM inapandikiza wangapi hapo chama chenu msingeongea hata hivyo unadhani CCM itakubali kuishi kwenye Giza bila kujua chochote kinachoendelea kwa taarifa yako tu Katibu wenu soon atahamia CCM ngoja kazi yake iishe


TLP ilikua na Nguvu sana..CUF ilikua na nguvu sana .... tukaipa nguvu ACT wazalendo (CCM-B) Kufikia 2025 itavurugwa Chadema hutaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…