Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Hata wa ccm nao wanahama.We ulikuwa unawaamini hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wa ccm nao wanahama.We ulikuwa unawaamini hao?
Mbona walisema Magufuli ndiye aliyekuwa ananunua wapinzani, Sasahivi nini kimetokea?Nilisema Tanganyika hamna mpinzani wa Kweli wote ni waganga njaa hata Mbowe mkubwa wao akinyanganywa wenyekiti anahama hiki chama chake.Makamba aliisha wahi kuusema ukweli,kuwa ukitaka kuangamiza chadema penyeza rupia kwa viongozi labda Slaa tu ndiye hauwezi kumpata.chadema hadi kufika uchaguzi watakuwa hoi sana hawawezi kuchuana na CCM.Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan
Alizaliwa Juni 8 1965, ni mwanasiasa Mtanzania aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Iringa Mjini (2015-2020)
Kwa sasa Mchungaji Msigwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
Hivi karibuni 30 Mei 2024 Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, alimshinda Mchungaji Peter Msigwa kwenye Cheo cha Uwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa.
Katika uchaguzi wa kanda hiyo uliofanyika ukumbi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makambako, ambao ulikuwa na mchuano mkali, Sugu aliibuka kidedea baada ya kupata kura 52 sawa na asilimia 51 dhidi ya Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa aliyepata kura 51 (asilimia 49). Matokeo hayo Mchungaji Msigwa hakukubaliana nayo kwa kile alichodai haki haikutendeka na alikata rufaa.
====
Kuhusu Mchungaji Msigwa kutaka kupewa Uwaziri na Hayati Magufuli soma:
1. Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa
2. Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
View attachment 3029802
Mimi sina imani naye, ww ndio wa kudhibitisha kuwa nina imani naye.Nataka comment yako ww kuonyesha huna imani na msigwa
Watababaika sana kuelekea ukombozi wa Tanganyika.Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan
Alizaliwa Juni 8 1965, ni mwanasiasa Mtanzania aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Iringa Mjini (2015-2020)
Kwa sasa Mchungaji Msigwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
Hivi karibuni 30 Mei 2024 Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, alimshinda Mchungaji Peter Msigwa kwenye Cheo cha Uwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa.
Katika uchaguzi wa kanda hiyo uliofanyika ukumbi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makambako, ambao ulikuwa na mchuano mkali, Sugu aliibuka kidedea baada ya kupata kura 52 sawa na asilimia 51 dhidi ya Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa aliyepata kura 51 (asilimia 49). Matokeo hayo Mchungaji Msigwa hakukubaliana nayo kwa kile alichodai haki haikutendeka na alikata rufaa.
====
Kuhusu Mchungaji Msigwa kutaka kupewa Uwaziri na Hayati Magufuli soma:
1. Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa
2. Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
View attachment 3029802
Pole mkuu.Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.
Sasa tutajuaje labla unasema huna imani nae kisa amewakimbiaMimi sina imani naye, ww ndio wa kudhibitisha kuwa nina imani naye.
Huyu nae ni Chama kabisa tawala
Narudia tena sikuwa na imani naye, na uwepo wake cdm nilikuwa naona kero tupu, maana mara atishie sijui Magufuli angenipa uwaziri na nonsense za aian hiyo. Sinaga shobo na watu aina hiyo.Sasa tutajuaje labla unasema huna imani nae kisa amewakimbia
do you expect more?
Mdude ni think tank ya CHADEMA kwa sasa.Anatoka mtu wa maana anaingia mvuta bangi 😂
Mnajidanganya tu mngejua CCM inapandikiza wangapi hapo chama chenu msingeongea hata hivyo unadhani CCM itakubali kuishi kwenye Giza bila kujua chochote kinachoendelea kwa taarifa yako tu Katibu wenu soon atahamia CCM ngoja kazi yake iishe