Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inaonekana amekwazwa sana na CDM, naamini Msigwa angekuwa na tamaa basi zile enzi za manunuzi angekuwa ameshafanya maamuzi tayari.

Siamini katika CCM na wala siamini katika CDM, huwezi kuwa smart ukafanya siasa kupitia vyama hivi maana vyote vimejaa wahuni tu.
 
Siku Walid Aman Kabouru alihamia CCM niliogopa. Nikajua ni mwisho wa CHADEMA. Kumbe ulikuwa mwisho wa Kabouru mwenyewe RIP
Msigwa ni mwakirishi wa matapeli wa Iringa,wanaiba Mali za watu wanatapeli.maheka na maheka ya mashamba ya miti na pia kuchoma misitu ya Sao Hill ili watoboe,nitakuwa wa mwisho kuipenda Iringa.Nimewaona sio watu poa na msigwa aende na opotee mazima
 
Back
Top Bottom