Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
magufuri alimtaka sana ahamie na ampe uwaziri alijifanya mjanja akagoma, leo anashawishiwa na mwanamke anakubali...naamini msigwa anachembe chembe za uzinzi......haiwezekani umuogope mwanaume mwenzake
 
CCM wanafurahi sana wakipata mwanachama toka CHADEMA. Mbona wa kutoka ACT hawapewi airtime namna hii?

NB: Nafasi nyingine ya mwanaccm asilia inaenda kuchukuliwa na huyu wakuja toka CHADEMA
 
Ni ngumu sana watu wa CCM kuamini CCM ni kikundi cha watu wachache walioamua kutuslave.
Ni ngumu pia kwa watu wa CDM kuamini CDM ni kakikundi cha watu wachache watafuta hela walioamua kuwa na frame ya biashara nje ya CCM au bargaining chip kwa CCM kila wanapotaka hela.
 
Yametimia, kuna mtu nilibishana naye sana kuhusu huyu jamaa km miaka 3 nyuma.
Ngoja nimtumie acc namba aniingizie mtonyo wangu mana nilimbetia.

Siasa zetu zina tamaa, uongo, unafiki na kujiangalia matumbo yao. Tutasubiri sana ukombozi kwa wanasiasa cheap km hawa.!!
 
Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.
Kumbe watu wengine wengi mko tofauti na mimi kabisa. Kadiri CCM inavyovuta wanasiasa wengi basi ndivyo ukombozi unavyokaribia kwa haraka. Reason: wanasiasa wa aina hii wanakimbilia vyeo lakini jambo lililo dhahiri ni kuwa CCM hakuna nafasi za kuwatosha wote. Hili litasababisha anguko la CCM kwa haraka zaidi kwa sababu kutakuwa na mgongano mkubwa. Hapo wengi ya wanaoimba kumshangililia Msingwa wanaumia kichinichini kwa sababu wanajua kabisa ushindani unazidi vya kupata vyeo unazidi ndani ya CCM.
 
Ni ngumu sana watu wa CCM kuamini CCM ni kikundi cha watu wachache walioamua kutuslave.
Ni ngumu pia kwa watu wa CDM kuamini CDM ni kakikundi cha watu wachache watafuta hela walioamua kuwa na frame ya biashara nje ya CCM au bargaining chip kwa CCM kila wanapotaka hela.
Hebu kitaje kikundi hicho cha wanaCCM walioamua kuwa slave.
 
Back
Top Bottom