Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Huyu atapewa 'Uteuzi' kama zawadi.Toka Magufuli atake kumlipia hela ya kutoka gerezani, sikuwahi kuwa na imani na Msigwa. Na toka wakati ule nilishaona kuwa yuko cdm kimwili, lakini kimapato yuko ccm. Acha aende ccm akale hela za uchaguzi, na aandaliwe vipindi vya kutosha vya kuiponda cdm wiki hizi 2 tatu. Baada ya hapo aanze kufuatilia malipo yake kwa kukubali kurudi ccm.
Ila Chadema lazima mjipange maana mshindani wenu ana rasilimali za kutosha za kuwavuruga na kuwabomoa.