Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaweza na Pesa ya SUKARI wewe?
Ndugu acha kushupaza Shingo ukaanza kumsingizia Polepole! Sema tu ukweli Pesa za mama ABDUL msigwa kafika Bei!

CCM ya leo inanuka RUSHWA TUPU kipi Kimempeleka Msigwa CCM!

Tuelewe kwamba, SIASA za KIAFRIKA ni utapeli kama utapeli mwingine kwa kisingizio cha demokrasia.

SIASA NA DEMOKRASIA AFRIKA NI UHUNI NA UTAPELI, HII NDIYO SABABU KUBWA WANANCHI WENGI WANABAKI KUWA MASKINI NA WANASIASA NA DEMOKRASIA YAO YA KITAPELI WAKIPONDA RAHA KWA KODI ZA MASKINI.
Cheza na DP World wewe
 
Inaonekana amekwazwa sana na CDM, naamini Msigwa angekuwa na tamaa basi zile enzi za manunuzi angekuwa ameshafanya maamuzi tayari.

Siamini katika CCM na wala siamini katika CDM, huwezi kuwa smart ukafanya siasa kupitia vyama hivi maana vyote vimejaa wahuni tu.
Sikia hata mbowe na Lissu ni CCM issue ya when wanarudi Hilo ni sehemu ya majukumu ya kazi na lini watahitajika kwa majukumu mapya
 
Juzi tu walikuwa pamoja na lissu, ina maana lissu hakujua kuwa msigwa atahama chama soon, au na yeye yuko mbioni kuihama chadema?

huwa nawashangaa sana watu wanaompapatikia tundu lisu, hakuna mtu corrupt kama tundu lisu chadema, hata yeye (tundu lusu) is next kwenda ccm utasikia tu muda si mrefu, matter of fact chadema yote ni controlled opposition …
 
Ila mi nasema tu kwamba hakuna mwanachama wa chama cha upinzani ambaye sio CCM, ni vile tu hajapata fursa. Kama yupo niambieni ni nani?
Sio kweli, wanasiasa wanasaka fursa na maslahi tu. Yasipopatikana pale walipo, watahamia pale yanapopatikana. Hata leo hii CCM ikishindwa uchaguzi, utashangaa hadi viongozi wa CCM watahamia hicho chama kingine. Kwa mfano kwa Msigwa, hakupata uongozi wa chama na ubunge ni ngumu kuupata tena Iringa mjini, huku umri ukienda. Ni aheri ajaribu CCM, akikosa ubunge kuna ukuu wa Mikoa na Wilaya.
 
Back
Top Bottom