Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Actually this is not even surprising me....

Msigwa alikuwa anaonekana ni opportunitist tangu awamu iliyopita.
 
What do you mean by political affiliation? Nachoweza kusema ni kuwa mtu yoyote anaweza kuwa na mambo anayokubaliana nayo kuhusu chama fulani, kwa muda fulani na hili lipo pia kwa Tanzania. All in all, mwanaharakati kuwa na political affiliation na chama cha siasa siyo jambo baya bali jambo jema sana. Infact raia wote tunatakiwa tuwe active kujua siasa za nchi zinaendaje na kuunga mkono chama tunachoamini kitatufaa.
Political affiliation umeshindwa kuelewa inamanisha nini ilhali ni neno lenye maana ya wazi... you can Google

Upo sahihi sana ila kwa bahati mbaya Siasa kwa Tanzania zimeaachiwa wajinga
Infact wanasiasa wajinga ni wazuri sana kwenye siasa ndio maana recently tumeona intellectuals wengi walohamia kwenye siasa wamekua wajinga ..

Mimi nmekataa kua mjinga sifungaman na wanasiasa hata kwa bunduki

Nitashabikia siasa kama tutaruhusu mawazo ya watu huru na kua na wanaharakat ambao wanaweza kufanya harakat bila kusajili vyama vya siasa
 
Amepiga mahesabu ameona 2025 ipo karibu ni sasa kama amepokelewa na Rais na lengo lake ni ubunge pasina shaka utauchukua ubunge kiulaini ,hawa wanasiasa karibia wote ni wachumia tumbo wanacho Fanya ni which trajectory it can fit them .Never trust a politician. Lilikuwa ni jipu limeiva linatafutia pakupasukia, yaani kunyimwa uwenyekiti wa kanda ndio uhame
 
Alishindwa kuhama enzi ya Maghufuri akachukua Malioni yake + Uwaziri, ndo anahama sasa.
 
Ni kwamba tu upinzani HAKUNA tz ila sisiemu hali ni mbaya na haikubaliki kwa wananchi wengi kwa sasa... sisiemu ilikuabya JPM.
 
Sema Nini Msigwaa umechelewa sana kufanya jambo hili. Wenzako walisanuka mapema wakaenda zao huko Yanga kula maisha.
Hakuna asiyejua nyie Simba kubeba ubingwa 2024-25 ni vigumu . Hamna kikosi, hamna pesa Wala ushawishi.
 
Sasa nimeamini kweli cdm viona mbali! Niliwai kusikia kuwa msigwa akishindwa uchaguzi wa Kanda ataondoka coz kesha pandikizwa, sikuamini Ila leo nimeamini.
 
huwa nawashangaa sana watu wanaompapatikia tundu lisu, hakuna mtu corrupt kama tundu lisu chadema, hata yeye (tundu lusu) is next kwenda ccm utasikia tu muda si mrefu, matter of fact chadema yote ni controlled opposition …
basi kama ni hivyo lissu naye aingie ccm tujue hakuna upinzani na mama asihangaike sana kusaka kura tanzania nzima kwani tayari ameshashinda kabla ya kushinda. 4R iendelee kufanya kazi kwa kuwajumuisha wapinzani katika serikali ya ccm ijayo chini ya uongozi wa mama. Chadema ndio basi tena, act wazalendo si lolote si chochote hawana nguvu. Hakuna haja ya kufanya uchaguzi mkuu wakati tayari ccm inaonekana kushinda dhahiri tena kwa kuwachukua wapinzani, kumbukeni kuna wale covid19 bunge likimaliza muda wake huenda wakahamia ccm
 
atampa uwaziri au cheo chochote kikubwa ili awatese Chadema, but i guess yatapiata kama yalivyopita ya akina covid 19 na wengine
Kama akipokelewa vizuri na kupewa nafsi nzuri basi itakuwa vizuri sana kwa afya ya demokrasia ya Tanzania kwa sababu CCM itakuwa inachimbia kaburi lake lenyewe. Kadiri wapinzani wanavyotimkia CCM ndiyo ushindani unavyozidi kuongezeka ndani yake, and guess what? Kitaparanyika!
 
Back
Top Bottom