Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona hukusema siku za nyuma mmmmmm
Simba hua anawinda kwa mvinu sahihi wakati wote,Kwa kifupi ujumbe wangu ni mfano hai siasa za Tz zilivyo ni siasa mfu,ni saccos za mikopo kuanzia Lumumba mpa ACT,no way.hatuwezi kuihama Nchi atakae mwahi mwezie na amle mazima
 
Msigwa alivuka na Chadema nyakati ngumu Sana usisahau hilo...

Mbowe ajitafakari...

Tindo
Toka Magufuli atake kumlipia hela ya kutoka gerezani, sikuwahi kuwa na imani na Msigwa. Na toka wakati ule nilishaona kuwa yuko cdm kimwili, lakini kimapato yuko ccm. Acha aende ccm akale hela za uchaguzi, na aandaliwe vipindi vya kutosha vya kuiponda cdm wiki hizi 2 tatu. Baada ya hapo aanze kufuatilia malipo yake kwa kukubali kurudi ccm.
 
Ili iwe nini?

Na huo uchungaji ni wa kuitwa na Mungu na wakuwekewa mikono kweli au wa theology tu

Hii ndo huitwa Imani haba haiwezi kusaidia mtu kutoka matesoni

Baba mchungaji anaimani ndogo!
 
Katika hili nawapongeza sana Chadema, huyu alikuwa pandikizi. Haiwezekani iwe kahamia ghafla.

Lakini, kwanini washikane mikono kama maharusi? Nimecheka sana.
Dada wala usitumie nguvu,hawa wanasiasa wote ni chawa wa njano/kijani and sana sana wanaenda upinzini wakiwa wameahidiwa hela ndefu wakiona wametumika vya kutosha wana Hama,and atashinda ubunge plus uwaziri atapewa pia
 
Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC.

Alizaliwa Juni 8 1965, ni mwanasiasa Mtanzania aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Iringa Mjini (2015-2020)

Kwa sasa Mchungaji Msigwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
View attachment 3029791
Msigwa in, Mpina out 🐒
 
Ndo mana naonaga wana wote wanaofanya siasa halafu hawafaidiki ni Vilaza
mimi siwez kuandamana wala kumchangia mtu anunuliwe gari

au nianze kububujisha threads kumsifia mtu

NEVER
Kuandamana unaandamana kwa sababu ya mwanasiasa? Hapa ndipo wabongo wengi tunapokwama. Tunadhani kuunga mkono harakati za haki ni kufaidisha wanasiasa. Unadhani ukikaa kimya unamkomoa nani? Ni wewe na familia yako na utakufa kibudu!
 
Mkuu, nilikuwa namuunga Msigwa mkono hadi hii leo. Hapa naunga mkono yeye kuukosa ule uwenyekiti dhidi ya Sugu, kukosa nafasi ya uongozi sio sababu ya kukihama chama.
Ameniacha na tafakuri, lakini zaidi ni mtu asiyefaa.
Hiyo ya kushindwa inaweza ikawa 'immediate cause '....ila 'long term cause ' ni pamoja na uongozi wa Chadema hasa 'Mbowe'.

Chadema ijipange upya maana bado ni upinzani muhimu kwa Sasa hapa nchini.

JokaKuu zitto junior
 
Back
Top Bottom