Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
chanzo cha muondoko wake ni kushindwa kiti cha uenyekiti wa kanda, alitaka aendelee ,wakati huohuo anamshutum mzee wa nyagi kukaa madarakani muda mrefu
mbona na yeye anataka akae muda mrefu
 
Matatizo haya yote yanaletwa na nchi zetu hizi kuifanya siasa kama chanzo rahisi kabisa cha mapato na utajiri, na si kuwatumikia wananchi. Tutayaona mengi toka sasa hadi August, 2025.
 
chanzo cha muondoko wake ni kushindwa kiti cha uenyekiti wa kanda, alitaka aendelee ,wakati huohuo anamshutum mzee wa nyagi kukaa madarakani muda mrefu
mbona na yeye anataka akae muda mrefu
Ndio vibwengo walivyo wakienda kama wanabaki na wakibaki kama wanaenda
 
Msigwa akipitia vituko vyake vya jana Bora angeumbwa mwanamke jamii ya mdundiko
 
Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.
hutakiwi kumuamini binadamu yoyote duniani labda muwe mmelishana yamini.Ishi kwenye itikadi sio watu.
 
Lilikuwa suala la muda tu tangu 2018 huko.
 
Kuna mwamba alikuwa anaitwa machali, sijui alikuwa nccr yule akaenda sisiyemu, hv aliishiaga wapi yule jamaa?
 
Chama
Chadema nimevulia kofia ili kuimaliza ccm lazima tujipake , kwenye mfumo wao , naishia hapa
 
Ogopa njaa na teknolojia , sasa vijana kazi kwao kama tz wako Gen Z wakachome nyumba na magari kama walivyopewa ruksa.
 
Huyu alipoanza kumsifia ccm kwa kuondoa wamasai ngorongoro nikaanza kudoubt sasa yametimia
Umeona eeh. Ile ilikuwa red flag. Tundu Lissu anawatetea wafugaji wasiondolewe kwenye ardhi yao ya asili, Msigwa anapingana nae. Sasa hii confusion ilichanganya sana wadau.
 
Hivi ni kweli kabisa Mch. Peter Msigwa kahamia upande wa pili kama ilivyo kwa Mwamba wa Lusaka β€œTRIPLE C” ? πŸ™„
 

Attachments

  • FB831AAE-C9AC-49E4-9FEF-59E99355A015.jpeg
    32.8 KB · Views: 2
 

Attachments

  • 5757228-2d34d6c66ed94e4c5aaaed0c01398d55.mov
    1.4 MB
Wanasiasa sio binadamu wa kuaminika hata kidogo, hasa hawa wa Tanzania. Mamluki wa ccm wamejaa sana huko cdm ndio maana hata chama hakipigi hatua.

Inawezekana kabisa wote cdm na ccm wanataka tutawaliwe hivi for generations to come.
 
Mimi nimeamua kila nilipokuwa namuunga mkono msigwa kujitoa pamoja katika mitandao. Wewe je?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hata ulipokuwa unam kubali alikuwa anakuongezea nini kwenye maisha yako?
 
Kama ulimwunga mkono Msigwa kwa sababu ya itikadi mliyokuwa mkiiamini, ni halali kabisa kujitenga naye. Maana kilichokuwa kinawaungamisha, hakipo tena.

Lakini kama ulikuwa unamwunga mkono Msigwa kwa sababu ya kunufaika naye, basi utaungana naye kokote aendako hata kama ni gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…