Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Huyo mpuuzi hana lolote taarifa zake za kijinga na uongo nimelipiga tofali muda sana
 
ila mama janeti magufuli anaonekana bado mbichi sana. Ana umri gani hivi?
 
Bora tumalize hili Jumatatuu kaziiii kama kawaida.
 
Sina maneno mengi sana wanajukwaa ila ninapenda kusema kwa heri, Dr.Magufuli kiongozi wetu umetangulia mbele ya haki.Mwenyezi Mungu akupe pumziko la amani.
 
Back
Top Bottom