Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

kuna ambae Mstaafu huyu alivyokua anaongea hajawasha tv or redio yake coz kaongea vitu vizur na vyenye utashi kwelikweli .... Huyu alikua Rais kwelikweli respect kwake...
 
Kuongoza nchi sio jambo rahisi sana.

nawaza mtu ana mke na watoto wawili ila hawezi kuongoza familiya migogoro kibao,sembuse magufuli kuongoza hili linchi looote? Lawama zote kwake?...
Wengi Wanao Jifanya Kulia Lia eti Shujaa Wa Chato alikua ni Mtetezi wa Wanyonge. Wengi Wao ni Watu wenye Roho za Kimasikini waliokua Wakishangilia Matajiri wakiporwa Mali zao na Kumbikiwa Kesi za Ukwepaji Kodi. Walitamani Matajir Waish kama Maisha Wanayoish wao Roho za Kimasikin
 
JK Swahili imenyooka.
Mzee Mwinyi heshima nyingi kwako. Hadi bodigadi ametabasamu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Pongezi nyingi sana zimwendee mzee wetu rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi.

Mama Janeth Magufuli mke wa marehemu John Magufuli leo ametoa kicheko kwa mara ya kwanza tangu aondokewe na mumewe tarehe 17.3.2021.

Amecheka mara baada ya mzee Mwinyi kusema kuwa sababu ya uzee wake amekuwa ni mtu wa kusahau sahau anacho kisema au kukusudia kusema.

Pole sana mama Janeth Magufuli.
 
Back
Top Bottom