Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Hao wanajeshi kwenye maziko,naona ni wanaume tu. Wanawake hawaruhusiwi kuzika jeshini?
 
Sasa mbona matukio muhimu hapo nyumbani kwake hayaonyweshwi,wanaonyeshwa onyeshwa watu na ndege tu hata kaburi kuliona ni nongwa,duuu
 
Kwa hiyo hawaonyeshi maziko...
Duh
Sasa sijui ilikuwa na maana gani leo kuwa ni siku ya mapumziko ikiwa kama hata fursa ya waombolezaji wa nyumbani kuona kaburi tu na yanayoendelea mazishini ni kitendawili
 
Back
Top Bottom