barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Yu wapi mamanda sirro? Sijamuona ktk hii shighuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kufika huko mkuu?Lala salama magufuli huko uendako hakuna majungu, matusi, lawama.ni kusinzia tu.
Sema moyo wako.Huwezi kujua mioyo ya wenzio.R.I.P. mwamba
Daima utaishi kwenye mioyo yetu
Pale alikuwa kama mkuu wa misafara ya viongozi,ukiwa na mke wa dizaini ile halafu wewe mume ukawa huna mawe basi utakuwa unaibiwa mchana kweupeKuna huyu dada wa itifaki hapa anaongoza viongozi kutoka hapa uwanjani niseme tu yuko njema wazee[emoji23]
Akimfufua itakuwaje na tayari kuna Rais,nasikia kuna nabii kajitokeza kumfufua akiruhusiwa
HahahahhahaaahahahahhahhahahaWewe ndiyo utaelewa maana mama haitaji tena wauza majungu kama wewe.
Endelea kuuza zambarau tu hapo Nkuhungu
Pale alikuwa kama mkuu wa misafara ya viongozi,ukiwa na mke wa dizaini ile halafu wewe mume ukawa huna mawe basi utakuwa unaibiwa mchana kweupe
Hatari sanaHata Askofu wa mazishi haonyeshwi [emoji19]
Mimi mwenyewe nimejiuloza kwanini sipati jibu labda ni muendelezo wa kuficha ficha mambo.Mbona hawanyesha anavyozikwa hawa wapuuzi..
Sasa sijui ilikuwa na maana gani leo kuwa ni siku ya mapumziko ikiwa kama hata fursa ya waombolezaji wa nyumbani kuona kaburi tu na yanayoendelea mazishini ni kitendawiliKwa hiyo hawaonyeshi maziko...
Duh