TANZIA Aliyekuwa Sultani wa Mwisho Zanzibar, Sultan Sayyid Jamshid Al Said, Afariki Usiku Huu, Omani

All the barbaric and uncouth acts he carried out in the name of "Trade" to our people will never be forgotten.

Nje ya mada: Pasco ulikurupuka sana na uzi wa juzi hapo "Kurudi Zenji" huyu Sultani. Na wewe najua umefahamu kwamba ulikurupuka, ila fresh yameisha. 😁
 
Alitawala miezi mitatu tu kabla ya kupinduliwa, biashara gani alifanya?
 
Alitawala miezi mitatu tu kabla ya kupinduliwa, biashara gani alifanya?

Nitakujibu japo sijajua lengo la swali lako ni kutaka kujua au kubishana.

Usultani ni Bloodline wenye lengo kutawala na kufanya biashara. Said Bin Sultan muasisi wa Usultani wa Zanzibar alitoka Muscat Oman mpaka Stone Town Zanzibar kwa lengo la kuanzisha biashara ya Karafuu (Clove), alime hapo Zanzibar na aiuze Oman huku akiwatumia wenyeji wa hapo kama watumwa (Cheap labours). Alifanikiwa kuanzisha Usultani hapo na Zanzibar ikawa kitovu cha Biashara kutoka Persia, Uarabuni na India huku yeye akitawala Zanzibar na kusimamia biashara. Wafanyabiashara kutoka pande hizo Zanzibar likawa chimbo lao kupata Malighafi ambazo nyingi zilikuwa hazitoki Zanzibar ila zinakuja kama kituo cha biashara. Pembe za Ndovu, Madini na Vito n.k

Jibu la swali lako: Seyyid Said alirithi Usultani wenye lengo lile lile, kutawala, kusimamia, kufanya na kuendeleza biashara. Zanzibar ni kitovu cha biashara cha kihistoria. Hujaridhika tutaendelea Darasa la Sita B.
 
Kwanini alitaka aje kufia Zanzibar?
 
Sultan Jamshid kapewa hifadhi Dar es Salaam yeye na familia yake na baadhi ya watu.
Aisee
kumbe nyerere mwenyewe alimpa hifadhi Dar kabla kuondoka
Hata huko UK alikuwa mkimbizi tu wa kawaida
Inaonekana Waingereza walimwanguishia jumba bovu, maana ni wao waliomtwaza mfalme
Hata walimuandika kwenye magazeti yao, naona alitua Portsmouth ndio akaanzia maisha hapo, maana miaka ile ilikuwa moja bandari kubwa UK



Hata ukiaangalia CV ya mtoto wake ambaye ni CEO wa Bank of Oman inasema alisoma Portsmouth University




Ndio maana nilikuwa na hii fikra nyerere alikuwa kibaraka UK, maana ukiangalia mfuatano historia...

1964: Mara baada ya Uhuru nyerere alishtukiwa aliwekwa mtu kati na kuomba msaada UK kumsaidia ndio chanzo Oscar Kambona kukimbia, hapa kulikuwa na mchezo mchafu wa nyerere, alilijifanya yeye ni mwana demokrasia ili aokolewe na UK, ndio maana wakamsapoti huku akimchomea Kambona kama mkomonisti kwa waingereza , huku kificho yeye mwenyewe ni mjamaa akisapoti Marxisist na Maoist...
Ndio maana walimtema wakati wa Uganda war, japo UK hawakumtaka Jemedari Idd Amin ambae aliwageuka pia baada kumuweka kutokanana kumshtukia Obote anaendeshwa na nyerere kuusapoti ukomonisti,
Lakini kwa kuwa hawakupendezwa na unafiki wa nyerere, ndio maana walimtosa....
 
Siulisema anakuja Tanzània?
 
watu wameruka na Brand! Mtu mliyemtimua baada ya kuwafunga minyororo leo hii anarud tena! haya mleteni akiwa ndani ya jeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…