Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
wanazika pemba au wanasafirisha?Aliyekua Sultan wa Zanzibar Sultan Jamshid bin Abdullah amefariki Dunia jana tarehe 30-12-2024 akiwa na umri wa miaka 95
Aliitawala Znzibar kuanzia tarehe 1 July 1963 mpaka 12 January 1964
Baada ya mapinduzi aliishi Uingereza kabla ya kuhamia Oman mpaka mauti yalipomkuta,
Inna lillahi waina ilaihi rajioon
Sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Hahahahaha....Jamaa wamefiwa, RIP.
Kina nani hao waliosema?si mlisema anakuja zanzibar kutalii kama raia tu wa kawaida na hata akitaka kuishi zanzibar rukhsa tu? Hiyo ziara imeishia wapi na leo mnatujulisha tanzia?
si mlisema anakuja zanzibar kutalii kama raia tu wa kawaida na hata akitaka kuishi zanzibar rukhsa tu? Hiyo ziara imeishia wapi na leo mnatujulisha tanzia?
Jee ni kweli? Kuna kipindi like 2 or 3 months ago ilitoka habari km hii lkn ikawa ni uongo, familia yake ikakanusha
Ist real news!!?Aliyekua Sultan wa Zanzibar Sultan Jamshid bin Abdullah amefariki Dunia jana tarehe 30-12-2024 akiwa na umri wa miaka 95
Aliitawala Znzibar kuanzia tarehe 1 July 1963 mpaka 12 January 1964
Baada ya mapinduzi aliishi Uingereza kabla ya kuhamia Oman mpaka mauti yalipomkuta,
Inna lillahi waina ilaihi rajioon
Sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Ndio mkuu.Ist real news!!?
habari hiyo ilikuja kukanushwa na kuonekana ni fake/fictionHuyu si tuliambiwa anajiandaa kuja kufanya ziara Zenji juzi kati tuu hapo?
hiyo habari ilikanushwa na kuonekana ni fake newsKina nani hao waliosema?
Hii ya sasa si uongoJee ni kweli? Kuna kipindi like 2 or 3 months ago ilitoka habari km hii lkn ikawa ni uongo, familia yake ikakanusha
Saa100 amefiwa na Mjomba wake!Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kifalme na atazikwa katika Makaburi ya Familia ya Kifalme huko Muscat.
====================
Breaking News!, Talk of a devil, and a devil appear!.
December 30, 2024
Information for “Atheer”: The Passing of His Highness Jamshid
Exclusive sources have confirmed to “Atheer” the passing of His Highness Sayyid Jamshid Al Said, the last Omani Sultan in Zanzibar, at the age of 95, following a long struggle with illness.
The sources stated that the late Sultan passed away on Monday evening at the Royal Hospital and will be laid to rest in the Royal Family Cemetery in Muscat.
Follow Atheer on WhatsApp:
fXodo
@Atheeroman
www.Atheer.om
December 28 lilipanda bandiko hili Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni
December 29 likapanda bandiko hili Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli
Leo December 30 ndio yametokea haya!.
RIP
Sultan Jamshed
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un إِنَّا لِلَّٰهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ. To God we belong and to Him we return.
Paskali
Hii ni Taazia ya Mkuu Maalim Mohamed Said
Rejea za Mwandishi kumhusu Sultan huyu
- Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...
- Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said atafurahi zaidi kama atarudi Zanzibar. Rais Samia, Rais Mwinyi, sameheni, utabarikiwa sana!
- Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?
- Je, wajua Sultan aliyefurushwa na mapinduzi matukufu alikuwa ni puppet wa wakoloni?
Na Leo atakuwa Loliondo kukagua project yake
Apumzike kwa amani