TANZIA Aliyekuwa Sultani wa Mwisho Zanzibar, Sultan Sayyid Jamshid Al Said, Afariki Usiku Huu, Omani

Tunauliza atazikwa wapi? Kwa maana yule ni mzanzibar, mzaliwa wa zanzibar na zanziba ni home land yake japo huko oman alikimbilia ukimbizini alikotoka babu wa babu zake sultan seyyid said aliyekuja kuishi zanzibar na kuwa sultan wa kwanza wa zanzibar
 
Can you mention those barbaric and uncouth acts he carried out or you are just following propaganda?
 
Je viongozi wametuma salamu za rambirambi hususani Rais Samia na Mwinyi maana hao Wana damu ya Wakoloni wa Zanzibar yaani Oman.
 
Hawa machotara wa zanzibar wasilete masihara. Kazi kuzungushazungusha maneno ili kuepa kusema sultani zanzibar alikua mkoloni na zulumati mkubwa kwa waafrika. Eti sultani hakua na nyumba za mateso? Na ile dhuluma mama ya kuidhulumu afro shirazi ushindi wa kura kwa hila za kuminya wajumbe wa kiafrika bungeni ni nini? Zaidi ya hapo nyumba za mateso zanzibar ni nini zaidi ya masalia ya majengo waliyohifadhiwa waafrika na kutumikishwa na kusafirishwa kama watumwa uarabuni. Hawa wasilete masihara kwa mambo yanauma roho.
 
Mwanae arudi Zanzibar? Mna mahaba sana na waarabu
 
Wewe ni miongoni wa mizee ya hovyo kabisa hapa NCHINI Tanzania
 
Hapa ndio utajua kina, Kassim Hanga, Abdulrahman Babu na kina Kapten Ali, walikuja kujuta sana kuunga mkono mapinduzi kumbe ilikuwa mipango ya Nyerere, na Nyerere alimpiga mkwara Karume kuwa kama hutaki muuungano anakuja mazima kuichukua Zanzibar yote.
Ndio maana Nyerere alikuwa kimya wakati kina Hanga na wenzake wanauwawa, na hii chuki ilimfikia Karume na watu hawakumuacha wakala kichwa
 
Wazanzibari wanamuona Jamshid kama mwenzao...

Ila sisi watanganyika ndio tunajifanya wajuaji kutaka kuwagombanisha...

Hii ina maanisha nini? Hapa mambo ni mawili tu...

Ni aiza wazanzibari ni NYANI au Watanganyika ni VIHEREHERE.

watanganyika ni viherehere sana kwenye mambo ya zanzibar, cha kushangaza sijawahi kuona wazanzibari wakiwa na viherehere kwenyemambo ya Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…