Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
AmeenšInna lillah wainna ilayh rajiuun. Allah Amjaalie kauli thabit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmeenšInna lillah wainna ilayh rajiuun. Allah Amjaalie kauli thabit
Can you mention those barbaric and uncouth acts he carried out or you are just following propaganda?All the barbaric and uncouth acts he carried out in the name of "Trade" to our people will never be forgotten.
Nje ya mada: Pasco ulikurupuka sana na uzi wa juzi hapo "Kurudi Zenji" huyu Sultani. Na wewe najua umefahamu kwamba ulikurupuka, ila fresh yameisha. š
Kafia Oman au UK?Tunauliza atazikwa wapi? Kwa maana yule ni mzanzibar, mzaliwa wa zanzibar na zanziba ni home land yake japo huko oman alikimbilia ukimbizini alikotoka babu wa babu zake sultan seyyid said aliyekuja kuishi zanzibar na kuwa sultan wa kwanza wa zanzibar
Je viongozi wametuma salamu za rambirambi hususani Rais Samia na Mwinyi maana hao Wana damu ya Wakoloni wa Zanzibar yaani Oman.Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kifalme na atazikwa katika Makaburi ya Familia ya Kifalme huko Muscat.
====================
Breaking News!, Talk of a devil, and a devil appear!.
December 30, 2024
Information for āAtheerā: The Passing of His Highness Jamshid
Exclusive sources have confirmed to āAtheerā the passing of His Highness Sayyid Jamshid Al Said, the last Omani Sultan in Zanzibar, at the age of 95, following a long struggle with illness.
The sources stated that the late Sultan passed away on Monday evening at the Royal Hospital and will be laid to rest in the Royal Family Cemetery in Muscat.
December 28 lilipanda bandiko hili Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni
December 29 likapanda bandiko hili Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli
Leo December 30 ndio yametokea haya!.
RIP
Sultan Jamshed
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Ų„ŁŁŁŁŲ§ ŁŁŁŁŁŁ°ŁŁ ŁŁŲ„ŁŁŁŁŲ§ Ų„ŁŁŁŁŁŁŁ Ų±ŁŲ§Ų¬ŁŲ¹ŁŁŁŁ. To God we belong and to Him we return.
Paskali
Hii ni Taazia ya Mkuu Maalim Mohamed Said
Rejea za Mwandishi kumhusu Sultan huyu
- Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...
- Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said atafurahi zaidi kama atarudi Zanzibar. Rais Samia, Rais Mwinyi, sameheni, utabarikiwa sana!
- Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?
- Je, wajua Sultan aliyefurushwa na mapinduzi matukufu alikuwa ni puppet wa wakoloni?
Hawa machotara wa zanzibar wasilete masihara. Kazi kuzungushazungusha maneno ili kuepa kusema sultani zanzibar alikua mkoloni na zulumati mkubwa kwa waafrika. Eti sultani hakua na nyumba za mateso? Na ile dhuluma mama ya kuidhulumu afro shirazi ushindi wa kura kwa hila za kuminya wajumbe wa kiafrika bungeni ni nini? Zaidi ya hapo nyumba za mateso zanzibar ni nini zaidi ya masalia ya majengo waliyohifadhiwa waafrika na kutumikishwa na kusafirishwa kama watumwa uarabuni. Hawa wasilete masihara kwa mambo yanauma roho.Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kifalme na atazikwa katika Makaburi ya Familia ya Kifalme huko Muscat.
====================
Breaking News!, Talk of a devil, and a devil appear!.
December 30, 2024
Information for āAtheerā: The Passing of His Highness Jamshid
Exclusive sources have confirmed to āAtheerā the passing of His Highness Sayyid Jamshid Al Said, the last Omani Sultan in Zanzibar, at the age of 95, following a long struggle with illness.
The sources stated that the late Sultan passed away on Monday evening at the Royal Hospital and will be laid to rest in the Royal Family Cemetery in Muscat.
December 28 lilipanda bandiko hili Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni
December 29 likapanda bandiko hili Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli
Leo December 30 ndio yametokea haya!.
RIP
Sultan Jamshed
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Ų„ŁŁŁŁŲ§ ŁŁŁŁŁŁ°ŁŁ ŁŁŲ„ŁŁŁŁŲ§ Ų„ŁŁŁŁŁŁŁ Ų±ŁŲ§Ų¬ŁŲ¹ŁŁŁŁ. To God we belong and to Him we return.
Paskali
Hii ni Taazia ya Mkuu Maalim Mohamed Said
Rejea za Mwandishi kumhusu Sultan huyu
- Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...
- Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said atafurahi zaidi kama atarudi Zanzibar. Rais Samia, Rais Mwinyi, sameheni, utabarikiwa sana!
- Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?
- Je, wajua Sultan aliyefurushwa na mapinduzi matukufu alikuwa ni puppet wa wakoloni?
wanasema omanKafia Oman au UK?
Mwanae arudi Zanzibar? Mna mahaba sana na waarabuMajuma machache yaliyopita nilipokea taarifa kutoka Muscat kuwa Sultan Jamshid amefariki.
Hapo hapo nikaandika taazia.
Haukupita muda nikapewa taarifa kuwa Sultan Jamshid yu hai.
Nilijisikia vibaya sana.
Ninachokumbuka katika mkasa huu ni maneno ya rafiki yangu akiniambia kuwa nimefanya haraka kuandika taazia.
Sikuwa na la kusema.
Nilikaa kimya hadi hii leo na hivi sasa.
Hapo chini ni taazia niliyomwandikia Sultan Jamshid bado akiwa hai:
Jana usiku ndugu yangu kaniletea ujumbe mfupi kuwa Sultan Seyyid Jamshid, Sultani wa mwisho wa Zanzibar kafariki.
Asubuhi ndugu yangu huyu akanipigia simu tukazungumza mawili matatu akanifahamisha kuwa yeye hakupata kuonana na Jamshid ila alizungumzanae mara moja kwa simu Jamshid alipokuwa anaishi Portsmouth.
Sasa nikawa najiuliza nini naweza kuandika kuhusu Sultan Jamshid.
Jamshid kaandikwa sana kiasi nimekumbuka maneno ya marehemu Bibi Titi Mohamed aliponiambia, "Bwana Mohamed kipi utakachoandika wewe kuhusu mimi ambacho bado hakijaandikwa?"
Kipi ninachoweza mimi hii leo kuandika kuhusu Sultan Jamshid ambacho bado hakijaandikwa?
Kipo cha kuandika kuhusu Sultan Jamshid bin Abdulla bin Khalifa ambacho bado hakijaandikwa.
Jamshid kaondoka Zanzibar baada ya mapinduzi nafsi yake ikiwa imesalimika.
Jamshid anakwenda kwa Mola wake vidole vyake vikiwa safi havichuruziki damu.
Hakuna Mzanzibari anaeweza kusimama akasema Sultani ameniulia ndugu yangu au Sultani kanidhulumu haki yangu hii au ile.
Jamshid kaondoka Zanzibar hakuacha jela za mateso.
Jamshid hakuacha jela za mateso kwa kuwa hakurithi jela ya mateso.
Jamshid hakupata kukalia kiti cha enzi kilicholowa damu.
Hakika lipo la kuandika na la kusema kuhusu Jamshid.
Nimeingia Maktaba.
Natalii farahasha ya kitabu cha Harith Ghassany, "Kwaheri Uhuru Kwaheri Ukoloni."
Nataka nijikumbushe.
Najikumbusha kwa kuwa nilikuwa msaidizi wa Dr. Ghassany wakati wa utafiti wa kitabu hiki chake.
Nasoma yaliyomfika Jamshid halikadhalika nayasoma yale waliyopitia Wazanzibari waliokuwa nje ya Zanzibar mapinduzi yalipotokea.
Nayasoma na kuona kama vile ndiyo kwanza hayo nisomayo nayasikia leo.
Sultan Jamshid kapewa hifadhi Dar es Salaam yeye na familia yake na baadhi ya watu.
Wako wamejibanza kwenye nyumba mbili jumla yao watu 43.
Serikali ya Tanganyika inafanya mawasiliano na Waingereza kuhusu Sultan Jamshid.
Jamshid Sultan wa Zanzibar ni mtu masikini kwani hana fedha nje ya Zanzibar hata senti moja.
Sultan hana nauli ya kumfikisha Uingereza.
Nimetosheka.
Navuta kitabu kingine ninachokumbuka kuna habari za Sultan Jamshid.
Hili ni buku la mapicha kutoka matoleo ya gazeti maarufu DRUM lililokuwa likimilikiwa na Jim Bailey kutoka Johannesburg, Afrika Kusini.
Nilisaidia kuhariri na kuchapwa kwa kitabu hiki.
Katika kitabu hiki kuna makala ya Jamshid akiwa watu wapatao 500 wananchi wa kawaida wanaingia porini kuwinda nguruwe.
Sultan Jamshid anaingia porini kwenye msitu mzito bila ulinzi wowote kuwinda pamoja na wawindaji wenzake wamemzunguka wamebeba mikuki.
Hakika yako mengi ya kusema kuhusu Jamshid.
Sura inayofuatia katika DRUM ni kuhusu mapinduzi yenye kichwa cha habari, "Bloodshed on the Spice Isle."
Nahitimisha safari yangu Maktaba kwa kitabu muhimu sana katika historia ya masultani: "Omani Sultans in Zanzibar," kilichoandikwa na Ahmed Hamoud Al Maamiry.
Mwanzo wa kitabu mwandishi anasikitika kuhusu damu iliyomwagika katika mapinduzi.
Siku zote historia ya mapinduzi itakuacha na majonzi.
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi hisabu yake ndugu yetu Sultan Jamshid bin Abdulla bin Khalifa.
Kuna mtu toka visiwani aliandika kwa mashamsham sana juu ya ziara yake as if angefikia nyumbani kwakeNa kumbe alikuwa anaumwa sana tu hata kuja asingeweza
Wewe ni miongoni wa mizee ya hovyo kabisa hapa NCHINI TanzaniaMajuma machache yaliyopita nilipokea taarifa kutoka Muscat kuwa Sultan Jamshid amefariki.

Saa ngapi?Kwa wanaotaka kutoa pole Ubalozi wa Oman upon hapa Mikocheni,Mwai Kibaki Rd.
Hapa ndio utajua kina, Kassim Hanga, Abdulrahman Babu na kina Kapten Ali, walikuja kujuta sana kuunga mkono mapinduzi kumbe ilikuwa mipango ya Nyerere, na Nyerere alimpiga mkwara Karume kuwa kama hutaki muuungano anakuja mazima kuichukua Zanzibar yote.Umoja wa Mataifa mwezi December 1963 waziri mkuu wa Zanzibar sheikh Mohamed Shamte Hamadi
View attachment 3189064
Waziri Mkuu wa Zanzibar katika Umoja wa Mataifa Desemba 16 1963 wakati Zanzibar ilipokubaliwa kuwa mwanachama wa Umoja wa Mataifa na Baraza kuu. Hivyo kupewa kiti kama nchi huru baada kuondokana kuwa koloni la Uingereza na kupata uhuru wake December 10, 1963
![]()
Picha makraba @ UN Photo / Yutaka Nagata
Rasmi tarehe 16 December 1963 Zanzibar, ikiwa imekalia kiti chake baada ya kupata uhuru wake tarehe 10 December 1963, was admitted as the 112th UN Member State. (file) Ujumbe wake ukiongozwa na mkuu wa serikali waziri mkuu sheikh Mohamed Shamte Hamadi.
View attachment 3189075
Kwa wanaotaka kutoa pole Ubalozi wa Oman upon hapa Mikocheni,Mwai Kibaki Rd.
Wazanzibari wanamuona Jamshid kama mwenzao...
Ila sisi watanganyika ndio tunajifanya wajuaji kutaka kuwagombanisha...
Hii ina maanisha nini? Hapa mambo ni mawili tu...
Ni aiza wazanzibari ni NYANI au Watanganyika ni VIHEREHERE.