Aliyekuwa waziri wa Hamas akiri yale mauaji yalikuwa kosa, yamesababisha Gaza ifutwe

Kichaa aniambie mwehu 😄 Poleni Israel ananza kulalamika eti hatukutegemea Hamasi kuwa wananguvu vile na bado wataliona Jua Usiku 😄

Nguvu ipi, kujificha kwenye akina mama na watoto hadi wamekufa karibia 20,000 hiyo ndio unaita nguvu.
Kiukweli kati ya magaidi ya dini yenu, nimeona HAMAS ndio hovyo kabisa, bora hata Boko haram, na wengine ambao huwa hawaleti maafa kwa watu wao, kidogo hujaribu kujitenga ndani ya watu wa kawaida.
 
Yesu ni nabii aliezaliwa na Maryam. Mungu hawezi kuwa mtu. Kamuulize mwamposa
Huyu nae nabii
Ndugu zetu tukiwa tunawaambia waje kwenye uislam ambao ndio nuru wanakua hawaelewi
Huyu sio unabii huyu hata kua mwanaume wamtu tu mtihani ila wao kwao nabii
Uislam ndio mfumi sahihi wamaisha anayotakiwa kuyaishi mwanaadam hata waupige vita kwanamna gani
 
🤣🤣🤣 Na Bado kawaingiza Chaka mamilion aisee daaah! Mbaya zaidi ukiongea vibaya tu wanakimbilia kutishana mambo ya moto
Wayahudi walimuambia ukweli KUA WEWE SIO MJUMBE WA MUNGU WETU YEHOVA,,,bas akawaua,,,,na kuanzisha uhasama nao
 
Hakuna mkiristo atakaengia peponi. Na akina papa hilo wanalijua lkn wao wanafata utajiri makanisani
Pepo yenyewe ndio hii yakugida mipombe?
Your browser is not able to display this video.
 
Mm sijaumbwa na huyo mungu wa kiarabu mwenye ushirika na majini.
Mm nimeumbwa na El shadai Mungu mwenye nguvu wa wayahudi..
Mwanamgambo mwenzenu ameshapata bwana bado nyie wa JF

[emoji1134][emoji845]You cannot “gay-marry” in Israel, but Israel recognizes same-sex marriages performed elsewhere.

They need to travel outside … [emoji2369]
 
Mr Uharo unahangaika sana halafu vitu vingi ufahamu kuhusu Palesitna ngoja nikupe darasa kiduchu…
Yousef al-Mansi, mnafiki na msaliti huyu alikimbia Gaza kibaraka wa Israel unadhani atasema nini kwa Hamas anaishi Israel awezi kwenda Gaza anajua watamnyonga kwa usaliti wake toka lini Mpalesina mwenye uchungu na nchi yake akafanya mahaojiano na The Times of Israel tena kafanyia Israel kisha anaiponda nchi yake na anasifia Israel 😂


View: https://x.com/guyelster/status/1733921748972675427?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Mm sijaumbwa na huyo mungu wa kiarabu mwenye ushirika na majini.
Mm nimeumbwa na El shadai Mungu mwenye nguvu wa wayahudi..
Huyo sio Mungu wa yahudi wao walimkana Mungu wa kweli wa Mussa wakatengeneza ndama hivyo mungu wako inabidi awe ndama wayahudi walilaaniwa kwa kitendo kile ndio maana hawana nuru Wala amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…