Aliyekuwa waziri wa Hamas akiri yale mauaji yalikuwa kosa, yamesababisha Gaza ifutwe

Hata wa Yahudi wanalia hivyo hivyo kuwa Netanyahu kawarudisha nyuma sana nasio vile tu, Israel imedharaulika hata heshimiwa tena na mataifa mengi.

Ukicheza na Hamasi utaishia kubweka tu
 
Dunia ndio ilivyo. Keshokutwa utasikia wamerakani wanakimbilia Kenya kuomba hifadhi. Palikuwa na utawala waroma uliwachinja wakiristo kama kuku
 
Ndoto za alinacha...
Internet yenyewe ya kuongea upuuzi wako unapata kwa msaada wa satelite za marekani
 
Ufalme wa Kirumi

Milki ya Roma ya Kale. Katika zama za kitume, Milki ya Kirumi ilikuwa yenye nguvu kubwa ulimwenguni. Ulijumuisha kila kitu kilichokuwa kati ya Frati, na Danube, Rine, Atlantiki, na jangwa la Sahara. Palestina ikawa kibaraka katika mwaka 63 K.K., wakati Pompei alipoitwaa Yerusalemu. Ingawa Warumi waliwapa Wayahudi upendeleo mwingi, Wayahudi waliuchukia utawala wa Kirumi na daima walikuwa katika uasi.
Paulo, raia wa Kirumi,
 
Yesu ni nabii aliezaliwa na Maryam. Mungu hawezi kuwa mtu. Kamuulize mwamposa
Yesu wetu sio huyo issa wenu....
Yesu wetu hakuzaliwa na huyo Maryam wenu???
mungu wenu ndio hawezi kua mtu sababu ni shetani aliyelaaniwa 🤣🤣
 
Ufalme wa Kirumi

Milki ya Roma ya Kale. Katika zama za kitume, Milki ya Kirumi ilikuwa yenye nguvu kubwa ulimwenguni. Ulijumuisha kila kitu kilichokuwa kati ya Frati, na Danube, Rine, Atlantiki, na jangwa la Sahara. Palestina ikawa kibaraka katika mwaka 63 K.K., wakati Pompei alipoitwaa Yerusalemu. Ingawa Warumi waliwapa Wayahudi upendeleo mwingi, Wayahudi waliuchukia utawala wa Kirumi na daima walikuwa katika uasi.
Paulo, raia wa Kirumi,
Mkuu unahama mada 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom