Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Imeandikwa ya kuwa hakuna ajuaye siku wala saa ya kuja mwana wa Joseph Pombe Magufuli,ole wako akute umeboronga.
 
Kwa sababu alizozitaja naye anapaswa kujiuzulu maramoja. Miradi mingi Bunge halijui. Yeye yuko juu ya sheria na katiba?
 
Kilichomfanya atumbuliwe ni kupiga deal bila kumpa chochote yule doktari
 
Maaskari magereza wanamsubiri kwa hamu sana gerezani. Ndio atajua alikua hajui
 
Hili swala ni kama nyavu ya kokoro itawakusanya wengi huko mambo ya ndani na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Lakini ni kama upepo huvuma na kutulia.
Vilevile tusisahau meno ya mbwa hayaumani.
 
Chonde chonde nakuomba makufuli usimtumbue bashite, kwani yatakayo mkuta ni mara 10,000 yanayomkuta kangi, ingawaje yeye mwenyewe hajiurumii wengine tunamuonea huruma, cheo ni dhamana ya mda mchche sana!
 
...🤔🤔🤔..bora akatubu!
 
Wote waliojibizana na Musiba wanaisoma namba,alianza na wazee ,wakampigia kelele sauti zao zikawekwa mezani wameufyata hadi wakaomba msamaha,Lugola yeye alikuwa anajimwambafay kwa Musiba naye imekula kwakwe,mtashangaa kuona waziri wa kwanza kuwekwa ndani kwa uhujumu uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani kangi Lugola aitwa na TAKUKURU kwa ajili ya mahojiano juu ya tuhuma za Kuingia mkataba wa kimangungo wa tsh zaidi ya Trillioni moja
Mungu kajibu maombi ya walokole alikuwa akiwanyanyasa tulimuonya humu. Lugola kaa mbali na kunyanyasa walokole akajitia kichwa ngumu yako wapi? Akaingia kunyanyasa mitume na manabii hadharani kilichomkuta halali yake.Nakala imfikie Sophia Mjema na mkurugenzi wa mji wa Babati .Lugora ananyolewa wao watie maji
 
Pole yake sisi tunashitaki kwa MUNGU tu
 
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani kangi Lugola aitwa na TAKUKURU kwa ajili ya mahojiano juu ya tuhuma za Kuingia mkataba wa kimangungo wa tsh zaidi ya Trillioni moja
Hii nchi ni maskini kwa sababu tuna deal na mambo ya kijinga. Hivi lugola angeweza kusaini huo mkataba bila magufuli kujua kweli?

Ama kweli trump hakukosea.

Na tukiendelea hivi tutabaki hapa hapa tulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AIBU yote hii ya Kangi Lugola ni ya Magufuli mwenyewe..
Angekuwa ni Rais makini anaefanya proper vetting kabla ya teuzi zake, Kangi hakupaswa kuwa kwenye cabinet kabisa.
 
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani kangi Lugola aitwa na TAKUKURU kwa ajili ya mahojiano juu ya tuhuma za Kuingia mkataba wa kimangungo wa tsh zaidi ya Trillioni moja
Mwasha uoshwa. Alikuwa anaosha sasa anaoshwa
 
Mbona Katibu Mkuu wake katunukiwa ubalozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…