Habar wakuu. Kuna bro huku kaniambia kwamba unaweza kusoma degree bila ya kupitia A level/diploma. Kaniambia ndo maana katika kuomba scholaship wanatumia chet cha o-level.
Mwenye kujua zaid wakuu..
Kuna baadhi ya vyuo Unaweza kufanya briging course ya kukuweka sawa na A level au college diploma kabla hujaanza first year degree. Lakini form4 direct first year degree sijasikia
Habar wakuu. Kuna bro huku kaniambia kwamba unaweza kusoma degree bila ya kupitia A level/diploma. Kaniambia ndo maana katika kuomba scholaship wanatumia chet cha o-level.
Mwenye kujua zaid wakuu..
I guess upo kwenye deep sleepd dreaming....