JfBro
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 587
- 160
Kuna mdogo wangu alipata four ya 27 0 level ..nikamshauri aende akachukue certifiacate ya sheria , akaunga na diploma . Juzi kapata kazi halmashauri kama mtaa executive officer.
Na hapa sasa yupo mwaka wa pili tumaini kurasini hao unaosema wewe kutoka advance anao hapo chuo anasema anawakimbiza ile mbaya kwenye course work na test .
Na alipiga upper second certificate na diploma. Ninachotaka kukwambia si kila aliyefail form four ni kiraza wengine ni bahati mbaya tu na wanauwezo mzuri tu darasani. Na sasa dogo kaomba evening class kwa sababu ya ajira pale halmashauri ya manispaa ya temeke.
Unaweza kua na ajira yenye jina ila mshahara laki moja