Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki chuo cha CBE kinanishangaza sana kinatoa degree hovyo sana, mtu amefeli vibaya form four anaenda CBE anasoma mwaka 1 mmoja certificate utamsikia dip mwaka 1 tena huyo degree,
hiki chuo kimewapa degree watu vilaza kabisa ambao tulisoma na o level lakini sasa hivi eti wanadegree na wao
Umeona ungese huo mkuu....sasa si bora wafute hivyo vigezo vya credit 3 na A- level!!!!!Hiki chuo cha CBE kinanishangaza sana kinatoa degree hovyo sana, mtu amefeli vibaya form four anaenda CBE anasoma mwaka 1 mmoja certificate utamsikia dip mwaka 1 tena huyo degree,
hiki chuo kimewapa degree watu vilaza kabisa ambao tulisoma na o level lakini sasa hivi eti wanadegree na wao
samahani mkuu sekomu kirefu chake ni nini?
Inauma sana alafu hao wanaopata hizo degree ndo wanaoajirika alafu sisi tuliokomaa hatupati chansi
Yaani siku hizi vyuo wanaangalia kuwa na idadi kubwa ya wanachuo ili kujiongezea kipato hawaangalii ufaulu tena, CBE ndo chuo kinachoongoza kwa ungese huu,
wanachukua wanafunzi vilaza na hata wakifeli mitihani ya chuoni wanawaongezea maksi ilimradi wamalize tu.
Hii ni hatari sana
Kama mtu ana vigezo na amefaulu kidato cha 4 wacha asome bachelor degree. Kenya ndivyo ilivyo
CBE ni takataka, products za pale ziko empty headed kabisa
CBE ni takataka, products za pale ziko empty headed kabisa
Nowadays kuna program imeanzshwa inaitwa 5years degree specialy kw form 4 leavers na bum wanapewa bila tabu yyt