stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
MAHANJU, Kama nilivofanya mimi,nko na gamba la dip in civil engineering wenzangu wanalia na bodi ya mikopo, tena nko full maujuzi yaani professionally na life kwa ujumla wao wanawaza kuomba hela nyumbani wakanunue smartphone,mwenzao nawaza habari za kumalizia ujenzi ..........
Last edited by a moderator: