Aliyemaliza Form 4 anawezaje kusoma degree moja kwa moja?

Nowadays kuna program imeanzshwa inaitwa 5years degree specialy kw form 4 leavers na bum wanapewa bila tabu yyt
 
hiyo iko fresh sana nchi nyingi kama china, australia,india,kenya,uganda,nk wanatumia hii system..........kinacho matter ni sylabus kama mlengwa ataweza kucover a level syllabus ndani ya miaka miwili na akapass peapa zake then mwaka wa tatu mpaka wa tano anapiga degree vizuri tu........
 
BRN, ukimaliza form 4 waweza chaguliwa soma diploma ya ualimu straight, then shahada. Cheti tupa kule by wizara ya elimu
 

Hakuna diploma ya mwaka mmoja CBE unaleta hapa habari za vijiweni sasa
 
Umeona ungese huo mkuu....sasa si bora wafute hivyo vigezo vya credit 3 na A- level!!!!!
 
St joseph ni moja ya vyuo vinavyotoa degree hizo ila hapa mtoto wa form four atasoma miaka mitano na sio mitatu,it means means maika miwili na advanced level
 
Yaani siku hizi vyuo wanaangalia kuwa na idadi kubwa ya wanachuo ili kujiongezea kipato hawaangalii ufaulu tena, CBE ndo chuo kinachoongoza kwa ungese huu, wanachukua wanafunzi vilaza na hata wakifeli mitihani ya chuoni wanawaongezea maksi ilimradi wamalize tu.

Hii ni hatari sana
 

Kweli mkuuu
 
CBE ni takataka, products za pale ziko empty headed kabisa
 
Kama mtu ana vigezo na amefaulu kidato cha 4 wacha asome bachelor degree. Kenya ndivyo ilivyo

Form4 ya kenya si sawa na ya tz!! Je tz kuna darasa la 8? Form4 kenya wanasoma integration,differentiation and the alike , je tz wanasoma??
 
Mbuzi mzee

Ushamba Mwingine Bhana! Ivi We Hujui Kozi Kama Za Engineering, Medicine Nk Mtu Anamaliza Form 4 Anaenda Diploma Akiwa Tena Ana Div One Akimaliza Anaenda Degree? Advance Ni Enterest Tu Ya Kuongeza Maarifa.

Binafsi Nilipoteza Muda Kwenda A'level, Nilipoenda Chuon Nilikutana Na Wenzangu Niliowaacha F4 Wakaenda Diploma Tena Wana Kazi Zao.
 
Last edited by a moderator:
CBE ni takataka, products za pale ziko empty headed kabisa

Lakini hapo hapo kuna product safi na zinatisha ile mbaya.... watu wamepita CBE na wana CPA zao wametulia tulii...inamaana hao NBA wanawapendelea?

kumbuka hapo kwenye mitihanu ya NBA wanakutana na vichwa kutoka vyuo vyote Tanzania i.e UDSM, Mzumbe,TIA nk na hizo product za CBE zinafanya kweli,maafisa masoko wa ukweli pia ni product za CBE

mfano Ephraim Mafuru (alishafanya kazi na TBL na Vodacom) na wengineo wengi tu,usizoee ku-generalise mambo,fanya utafiti wa kina...CBE ni chuo kikongwe na kinaheshima zake
 
CBE ni takataka, products za pale ziko empty headed kabisa

Elewa Kua Vyuo Vyote Vimesajiliwa Kisheria,tena CBE Ni Taasisi Ya Serikali. Wakati We Unamaliza Form Four Unaenda A'level Mwenzako Anaenda Kusoma Diploma Ya Civil Engineering Miaka Mitatu,

Unamaliza Unaomba Chuo Huku Huna Uhakika Wa Mkopo. Yeye Anamaliza Chuo Anaajiriwa Kama Engineer Msaidiz, Anafanya Kazi Mwaka Mmoja Anaomba Chuo Anakukuta Uko Pengine Mwaka Wa Pili Au Mkaanza Wote Mwaka Mmoja Degree Ya Kwanza,

We Unagoma Kwa Kukosa Mkopo Mwezako Hana Hata Habari Hizo. Akili Ya Kuambiwa Changanya Na Zako.
 
Binafsi nilisoma A LEVEL lakini ni afadhali ukifaulu form 4 ama ukiwa na vigezo vya kujiunga na chuo ujiunge. A level ni pata potea na bahati mbaya ukifeli unarudi upya kuanza diploma na muda hapo umepotea...

walioingia diploma baada ya kumaliza form 4 wakasoma miaka mitatu wakifika degree wanaanza mwaka wa pili.. (ninayo mifano-- sijui kama ndio utaratibu au la) hapa anamzidi aliepitia A level kwa ufahamu wa kozi husika...

kwa mtazamo wangu ina mantiki iwapo mhusika (form 4) anavyo vigezo vya kusoma chuo. A level isifutwe iwepo kwa wanaohitaji kwenda waende...

ni hayo tu.
 
Umuhirindahu

Kilikuwa kinasifika zamani lakini siku hizi kama una mwanao au ndugu yako amepata sifuri form four mpeleke pale CBE atapokelewa tu, hata ukienda pale kutembea unaona tu wanafunzi wanajionesha kabisa wasivyo makini kabisa kwa kuangalia tembea yao na ongea yao.
 
Last edited by a moderator:
Mbuzi mzee, Mkuu unaifahamu NACTE?. Kama huifahamu futa uzi wako nenda kwa wanaoijua wakujuze then urudi hapa jukwaani.

Mwenzio nimeua form four na div one kali nkaenda zangu DIT nkakamata diploma miaka mitatu, kwa ss nko kazini still napiga degree, watoto wa form six wanakimbizwa mbaya sana...........We need to research before posting,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…