stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
Hata mi nimetoka zangu form 4 mwaka jana nw nipo kcmc napiga dip ya optometry .nikimaliza naweza kuamua kuendelea na digri pia 2naxoma na wa 4m six weng 2.xo ni uamuz wako 2
Xo ukimaliza xo unapata kazi xo unaanza kupiga mihela, xo 2naanza kuibiana mademu xo 2nakupa kichapo😀
teh teh teh teh af jamaa bhan
Tena kwa taarifa yako kupitia certificate na diploma ndio kuna mjenga mtu kati fani yake kuliko huko Advance.
Mwamba ngoma....
Ila ninachojua advance ni jiwe kwelikweli kuliko hata chuo.
Mwamba ngoma....
Ila ninachojua advance ni jiwe kwelikweli kuliko hata chuo.
unaangalia ugumu unaangalia professional
Aises unajidanganya sana, mtu aliesoma certificate akasoma diploma anakuwa tofauti sana na yule aliemaliza form6. Kumbuka huyu wa Chuo anasomea professional.
Waweza kuwa sahihi ila nilishatoka huko kitambo na sikuona tofauti yoyote ya mtu aliyepita kwenye dip/ftc na yule wa advance.
Ww huoni mtu akifeli form6 anaenda kusoma diploma badala ya bachelor degree???
Mm mwanangu akimaliza form4 sitaki aende form5, ataenda kuanza NTA 4, NTA5&6 then degree
umeongea kweli mtoa mada, yaani mtu amefeli form 4 hakupata matokeo ya kuenda A/level halafu mnaenda kumaliza degree pamoja. hii kweli sio haki