Aliyemaliza Form 4 anawezaje kusoma degree moja kwa moja?


Unaweza kua na ajira yenye jina ila mshahara laki moja
 
Unaweza kua na ajira yenye jina ila mshahara laki moja

acha utoto wewe umesikia wapi mtendaji wa mtaa grade II analipwa laki moja . wale wanachukua 455,000 Tsh yaani TGS C according to govenrment salary kwa graduate mwenye diploma. ukiweka makato hapo take home ni kama 385,000 Tsh.
 
Unaweza kusoma tena ukafanya vizuri, ila unatakiwa uwe makini sana na ufuate malengo yako ya kusoma. Changamoto utakayoipata ni ile ya kukosa kujiamini na wakat mwingine wakufunz huwa wanagusia kidogo baadhi ya mada za A_level ambazo huenda huna idea nazo. Uombaji unaomba tu kupitia TCU lakin ni lazma uwe na ufaulu mzuri ktk course unayoomba. kama unasoma masomo ya science unapoomba unapewa kipawo mbele kwanza. Nafasi hz huwa znakuwa chache.
 
jibu lako ni ndio...kwamba inawezekana kupata degree bila kusoma kidato cha5 na 6..lakini wengi wanaopitia njia hii ni wale waliofeli kidato cha4...hivyo basi A level bado ni muhimu ila watu wanapata degree bila kusoma A level...siyo tu kwasababu wanapenda ila kwasababu ya kufeli form 4.
 
Mimi binafsi sionagi sababu ya kusoma a level mana chuo unanza na moja tena
 
Jaman npen ushaur wakubwa, m n mwalm s/m nmehtm 4m 4 mwaka 2010 na kupata dvshen 4-point26 (history c, geography c, civics c, biology d, maths d, kiswahl d, English f) Nina malengo ya kufanya mtihan Wa 4m6 mwakan katka masomo ya history,geography and kiswahil (HGK) as private candidate, so nshaurin vtabu vzur vya ku2mia katka hayo masomo ambavyo vnaendana na mihtasari mipya ya masomo hayo, pia kwenye kujua mwongozo Wa mada husika anijuze, 0764316626
 
Kakudanganya huwez toka o-level to degree ata kama una division 1 bro

Ilishatokea hiyo, tena alichukua degree ya sheria, ni binti mmoja ambaye hakufaulu kwenda A-level, babake ni kigogo wa bodi ya chuo akamuunganishia mwanaye na ikawezekana.
Hakuna kinachoshindikana bongo.
 

nina mashaka na akil yako
 
Wale wapingao nashauri watafute gazeti la Mwananchi toleo la jana tarehe 11/02/2015 uk. 23. Pale kuna Tangazo la ST. Joseph University;

Degree Programmes mbalimbali zinatolewa kwa ENTRY QUALIFICATION ya CSEE wth a minimum of four passes preferably two from science subjects or any other Certificate which is equivalent to Form IV recognised by NECTA.

Period!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…