Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

naomba kwa heshima na taadhima uende youtube sikiliz mazungumzo ya Furaha Dominic na Nyanda wa Star tv. Ndio utajua hii nchi ikoje
Wewe kijana huyo ulikuwa unanjua kabla ya kuletwa na Magufuri?mala ngapi ulikuwa unamsikia Magufuri anatoa data za wasaidizi wake wakati akiwaapisha?Wwe unafikilia wote alikuwa anawajua.Narudia tena hauwezi kumficha rais wa nchi chochote Kama anataka kujua ukweli.Samia wako anajua ukweli wote
 
Akili Mbovu mbovu,wamechanganyikiwa hadi kumpotosha sultan
 
Mh. Raisi hakutakiwa kujibu hili swali. Angeeleza tu ni issue ipo mahakamani tayar na hawezi kuizungumzia. Ingekua bora zaidi kuliko fedheha tunazozipata sasa
 
Kama Jaji atadai kuna kesi ya kujibu na kama akina Kibatala watakomaa basi Maza, Sirro, Boaz na afande Nuru nao waletwe mahakamani kutoa ushahidi.
 
Kama Jaji atadai kuna kesi ya kujibu na kama akina Kibatala watakomaa basi Maza, Sirro, Boaz na afande Nuru nao waletwe mahakamani kutoa ushahidi.

..Nahisi Jaji anataka kutoa uamuzi kwamba kuna kesi ya kujibu.

..Jaji hataki upande wa utetezi wafanye ORAL SUBMISSION baada ya jamhuri kufunga ushahidi.

..Kwa maoni yangu Jaji hataki hoja za utetezi ziwekwe wazi na kujulikana kwa wananchi.

..Jaji hataki wananchi wasikie ushahidi wa jamhuri unavyokuwa challenged kisheria na mawakili wa utetezi.

..Ninahisi kilichotokea wakati wa " trial within a trial " kinakwenda kutokea hiyo tarehe 18.

Cc Erythrocyte
 
Sisi tuko tayari kwa uamuzi wowote , kwanza tulijiandaa kuendelea na mashahidi wa Jamhuri hadi waishe
 
Acha kuwafanya watu wajinga au ni wakenya, wakongo, ambao hawajui kiswahili vizuri!!toka lini neno ameshahukumiwa tu!!likatumika kuwa ni kuachiwa huru, ?!!na toka lini polisi ndio wakatoa hukumu, ina maana mpelelezi akikukamata na kukuhoji then akakuachia baada ya muda fulani hiyo unaiita hukumu?!!

Kati ya hao walioachiwa kuna hata mmoja aliachiwa kupitia mahakama?!!kama sio ni lini polisi wameanza kutoa hukumu?!badala ya mahakama??acha upimbi wewe
 
fanyeni kazi mjenge taifa nyie watu,kesi ya mbowe haiwasaidii chochote kuinua uchumi wako ,wa taifa.
mipuuzi km nyinyi utakuta mmejazana maofisini humo mnapiga porojo tu za kesi sijui ya nini upuuzi mtupu.huku kazi za watu zinalala
"Bora wewe unakazi lakini kumbuka kazi kukazana na endelea na kazi ili serikali ipate tozona"
 
Wanawake wa kiarabu hawajawahi kupewa akili. Wanachojua nikubana sauti na kurembua. Na kuolewa mitala.. ndio sababu Siro anamfanya ananavyotaka:
Kama Taifa tumeingizwa cha kike mazima.
Astaghifirullah!๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Ipo haja ya wote waliobumba kesi hii ya uongo wachukuliwe hatua. Wakiwemo siro, kingai, mahita jumanne gudlack majaji na mahakimu wote waliojiingizia pesa haramu kama posho mbalimbali za kushiriki kesi ya uongo na kuitia hasara kodi yetu.
Hio gharama ya kuendesha kesi si ingenunua hata madawati.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Majaji wenye hofu ya Mungu walijitoa kwenye kesi hii walijua.
 
Vibaka waliokuwa wanamwita Mwamba kuwa ni gaidi sasa hivi wanamwita kuwa ni Mheshimiwa๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ