Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

Aliyemdanganya Rais kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe akamatwe haraka

Ana umbuka vipi sasa na wakati atakuwa katimiza lengo?.Kifupi ni kwamba Mbowe ilikuwa ni lazima akae kizuizini ili kupisha serikalini mpya na iliyoingia madarakani kwa ghafla na yeye akaanza kuichanganya na mambo ya katiba.Tambueni tu kuwa siasa ni sayansi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe akiachiwa leo utashangaa bavicha wanashangilia kwamba wameichachafya selikali!
 
Mimi sina shida na waliomwambia ila hofu yangu ni kweli Rais hana umakini kiasi hiki??, Hivi unawezaje kutoka hadharani km Rai namba 1 wa Nchi kusema jambo la Uongo hasa kwa kiongozi wa chama??.

Binafs nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais hakuwa na taarifa za mchongo wa kesi hii, bali kinachotokea mahakamn kwa mashahidi hawakutegemea kupata heavy cross examination kias hicho.

Kwa hili limeonesha uwezo mdogo alionao Rais kutafakari na kuchagua mambo ya kusema.
Serikali imetimiza lengo la kumnyamazisha Mbowe ili kupisha serikali mpya ya mama ijipange.Mwaka mmoja au na zaidi Mbowe akiwa mahabusu,ni ushindi kwa serikalini.Siasa ni sayansi.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe akiachiwa leo utashangaa bavicha wanashangilia kwamba wameichachafya selikali!
Tatizo wanadhani siasa ni kama kula ugali unachukua tonge na kulipeleka mdomoni,kumbe siasi ni mbinu na akali nyingi.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila Chifu Mkuu alikuwa anatoa habari pale BBC kwa uhakika na matao kama kweli vile!😝😝😝😝
Wanawake wa kiarabu hawajawahi kupewa akili. Wanachojua nikubana sauti na kurembua. Na kuolewa mitala.. ndio sababu Siro anamfanya ananavyotaka:
Kama Taifa tumeingizwa cha kike mazima.
 
Serikali imetimiza lengo la kumnyamazisha Mbowe ili kupisha serikali mpya ya mama ijipange.Mwaka mmoja au na zaidi Mbowe akiwa mahabusu,ni ushindi kwa serikalini.Siasa ni sayansi.[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama wewe ni sehemu ya walio mshauri Rais huu ujinga basi haina akili. Hivi unajua kupitia hii kesi MBOWE amekuwa mpya kwenye siasa!!, Wamemjenga kisiasa bila kujua.

Na kwa taarifa zako waliomshauri hili wote wamewekwa kitomoto.
 
Walihukumiwa na mahakama ipi mkuu? Au dpp siku hizi ana mamlaka ya kuhukumu?
Kwanza kabisa umeandika kishabiki halafu hujaandika alicho kisema rais mpendwa na wananchi samia suluhu hassan, alichokisema ni kuwa kuna wengine wameshahukumiwa sasa wewe kwa akili yako fupi unajuwa mtu akihukumiwa anaenda jela tu hata ukiachiiwa ni hukumu yako hiyo sasa kama watu walikuwa saba na sasa wako wanne wengine wako wapi? Inamaana hao wengine hukumu yao walitoka waliobaki ndiyo magaidi unamshutumu rais? Huna akili wewe
 
Kama wewe ni sehemu ya walio mshauri Rais huu ujinga basi haina akili. Hivi unajua kupitia hii kesi MBOWE amekuwa mpya kwenye siasa!!, Wamemjenga kisiasa bila kujua.

Na kwa taarifa zako waliomshauri hili wote wamewekwa kitomoto.
Hivi huwa mnaishi nchi gani?Kifupi huku uswahilini hiyo kesi wala haijulikani.
 
Tatizo wanadhani siasa ni kama kula ugali unachukua tonge na kulipeleka mdomoni,kumbe siasi ni mbinu na akali nyingi.[emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona mnaanza kukiri wenyewe kuwa kesi ni ya mchongo?Serikali dhalimu pekee ndio huweza kutenda aliyotendewa Mbowe na hao makomandoo!
Imagine familia za hao makomandoo zilivyoathirika Kwa zaidi ya mwaka,kisa tu siasa majitaka!Yaani Ili kutimiza malengo,Unaumiza hata raia wengine wasiohusika na michezo yenu michafu ya kisiasa!Dhambi hii italipwa!
 
Ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupata taarifa kuwa miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi hii wamekwishahukumiwa kifungo jela baada ya kukiri makosa yao ya Ugaidi .

Mh Rais alitoa kauli hii hadharani tena kwa kujiamini kabisa , Alipokuwa anahojiwa na BBC ambalo ni shirika la Utangazaji la kimataifa, maana yake ni kwamba habari yake hiyo ilisikika Duniani mote .

Bali sasa ni dhahiri shahili kwamba kauli ile haikuwa ya kweli baada ya Mpelelezi Mkuu na nguli wa kesi hii mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye kitengo hicho , aliyesomea Botswana , Inspector Tumaini Swilla kukanusha jambo hilo Mahakamani mbele ya Mtukufu Jaji Tiganga , Swilla akijibu swali la Wakili wa Utetezi Kibatala , ameiambia mahakama kwamba Watuhumiwa wa Ugaidi wako wanne na ni ambao wameshitakiwa Mahakamani na wala hakuna mwingine yoyote aliyefungwa miongoni mwao .

Kwa kufupisha : Ni nani alimdanganya Mh Rais kuhusu jambo hili kiasi cha kumdhalilisha mbele ya jamii ? je anastahili kuendelea kubaki ofisini , na kwanini asikamatwe na kushitakiwa kwa kumdanganya Rais?

View attachment 2120063

Pia, soma: Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa
Majinga hayo na Chui jike lao achana nao
 
Wanawake wa kiarabu hawajawahi kupewa akili. Wanachojua nikubana sauti na kurembua. Na kuolewa mitala.. ndio sababu Siro anamfanya ananavyotaka:
Kama Taifa tumeingizwa cha kike mazima.
Aiseee !!!
 
Basi vivohivyo mjue pia kuwa Raisi anadanganywa vitu vingine pia..

Acha inyeshe
 
Back
Top Bottom