Ila kimaadili ni kosa.Kama akitaka kuwa Kiongozi itamgharimu?.
nchi gani? Moja ya sifa na mafanikio ya viongozi Bongo ni kutafuna Pisi nyingi
Ila kimaadili ni kosa.Kama akitaka kuwa Kiongozi itamgharimu?.
Ila mkewe ndio hayuko serious, mume ka cheat bado mke hajalianzisha na ushahidi upo mpaka video.Mwijaku hana kesi na hawezi kuwa na kesi, kutembea na mwanafunzi wa chuo sio kosa kisheria.
UDSM WAWEKE MTAALA WA ZAMANI DIVISION ONE NDIO UKASOME UDSM KAMA DIVISION TWO THREE TAFUTA CHUO KINGINE NDIO MAANA UDSM INASHUKA HADHI KATIKA VYUO VIKUU VYENYE ELIMU NZURI AFRIKAhayo ndio maisha ya MABINTI WA CHUO WENGI WANAOPENDA BATA SASA BATANI
Sio kwa TZIla kimaadili ni kosa.Kama akitaka kuwa Kiongozi itamgharimu?.
Huyo mwijaku should be includedHatimaye, wanafunzi watatu wanaodaiwa kumdhalilisha mwanafunzi mwenzao wa Chuo Kikuu Ardhi, Magnificat Kimario, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayowakabili.
Wanafunzi hao walifikishwa mahakamani leo kufuatia tukio lililojitokeza Aprili 20, 2025, ambapo video inayowaonesha wasichana wakigombana ilisambaa mitandaoni na kuzua mjadala mkubwa wa kitaifa. Katika video hiyo, jina la mtu anayefahamika kwa jina la Mwemba Burton Mwemba, maarufu kama Mwijaku, lilitajwa.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Jeshi la Polisi iliyotolewa Aprili 24, 2025, watuhumiwa hao walitiwa nguvuni na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Wanafunzi waliotajwa katika taarifa hiyo ni:
1-Mary Matogoro, Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
2-Ryner Mkwawili, Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi
3-Asha Juma, Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu, Dar es Salaam (TIA)
Aidha, Jeshi la Polisi lilithibitisha kuwa limemuhoji pia Mwemba Burton Mwemba (Mwijaku) kuhusiana na tuhuma hizo, ingawa haijafahamika moja kwa moja kama naye atafunguliwa mashtaka au la.
Anauza mashavu Idodomya.Na huyo mwijaku mwenyewe yupo wapi?
Maadili hayazingatiwi sana hapa mozambikiIla kimaadili ni kosa.Kama akitaka kuwa Kiongozi itamgharimu?.
Haisaidii, hao division one tuko nao huku tunasaga chaki,na huenda hata mishahara tunawazidi na wengine ni jobless.UDSM WAWEKE MTAALA WA ZAMANI DIVISION ONE NDIO UKASOME UDSM KAMA DIVISION TWO THREE TAFUTA CHUO KINGINE NDIO MAANA UDSM INASHUKA HADHI KATIKA VYUO VIKUU VYENYE ELIMU NZURI AFRIKA
Jokate alikuwa na ana picha nyingi tu za uchi mitandaoni na bado akaukwaa uDC na vyeo vingne vikafuataIla kimaadili ni kosa.Kama akitaka kuwa Kiongozi itamgharimu?.
Kwani na yule nae sini manka pia. Sema anagawa uroda nje ndio maana hajataka kumhukumu mwenzieIla mkewe ndio hayuko serious, mume ka cheat bado mke hajalianzisha na ushahidi upo mpaka video.
Hivi wenzetu wake wasio jielewa mnawapata wapi? Ingekua manka hapa leo hii nyumba tushaigawa pasu pasu.
Kawala hao wote?.Wameliwa kwa ridhaa yao😀
Labda ingekuwa nchi nyingine lakini sio hii Tz ya CcmIla kimaadili ni kosa.Kama akitaka kuwa Kiongozi itamgharimu?.
Ya Mwijaku?Sasa mbona hujaweka picha
hii imenichekesha😄😃😅😅😅,.Wakiwa chuo wanajiona wa watoto wa kishua
Ona Sasa huyo kakosa mdhamini wa kumwekea bond ya million 5 tu