Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama

Heshima yooote ile aliyojijengea kwa kipindi chote anaenda kuivunja kijiinga
 
Watu walimstai tu alivyompokea lowasa na kutuzungushisha mikono.
Ila washachoka na staili mpya ya maridhiano,ndo mana spanner zinatembea
 
Mimi sikuwahi kujua Yerico ni failure alafu Et anapewa Tuzo 🤣🤣

Utasikia Ujasusi wa kiuchumi.
 
Kama ni kweli basi cha kufanya ni kuahirisha uchaguzi ufanyike baada ya 2025 kisha aandae mtu wa kuwa mwenyekiti.
 
Niliweka uzi humu hii ya Lissu na Mbowe ni Kama Lipumba na Maalim sefu,mwisho wake CUF ikafa-CDM nao itakuwa hivyo hivyo.
Mbowe,alishindwa kukaa na Lissu wakayamaliza ili kunusuru CDM??
 
Niliweka uzi humu hii ya Lissu na Mbowe ni Kama Lipumba na Maalim sefu,mwisho wake CUF ikafa-CDM nao itakuwa hivyo hivyo.
Mbowe,alishindwa kukaa na Lissu wakayamaliza ili kunusuru CDM??

Au Mbowe Angekaa pembeni kisha amuweke mtu wake ambaye atampigania kwa kificho
 
Si kweli. Kwani, katiba ya Chadema ina ukomo wa uongozi? Je unaelewaje demokrasia? Kama machawa wameshindwa kuiua Chadama, unadhani ushauri tu utakiua mwanangu?
 
Mbowe bin konyagi ni mpumbavu ... genius kama mimi nikimwita mtu mpumbavu basi ujue huyo mtu ni mpumbavu kweli kweli ...mbowe awezi hata kuandika katiba kama akioewa haki ya kuiandikia katiba nchi basi awezi kuandika chochote cha maana tatizo ni mtu no sense
 
Nyinyi ni wanaharakati, sisi ndio wapiga kura!! Mnatumia mbini nyingi sana ila hakika munaelewa hasaa kuwa Lissu hawezi shinda huu uchaguz ndio maana kelele zenu zmekuwa za debe tupu!
 
WALIOMSHAURI NI CCM REJEA DOKEZO LA DR SLAA
 
Mna weweseka sana na Mbowe, Subirini matokeo ndio mtafahamu nani anajidhalilisha. Hivi mnalala kweli siku hizi?
 
Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Zile siku 3 za tafakari alizoomba Mbowe hakuzitumia vizuri. Anaiharibu kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka mingi, kwasabb ya ushauri/tafakari mbaya aliyoifanya.
 
"Binadamu huwa wanaweza kukupandisha na kukushusha Kwa wakati mmoja"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…