Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

Unataka kusema nini haswa? Funguka ueleweke… kwamba hata sisi hapa Tanzania tuwakalie chino hawa Gen Z au ? Vio hizi wa focus na people centred development sio matumbo yao.
 
Miaka 20 huko sio mtoto hata, Kuna jamaa nilikua naona analalamika alienda jeshini akiwa na miaka 18, anakuambia alirudi marekani akiwa na miaka 20 baada ya kutoka operation Afghanistan, kufika marekani jimboni kwake akawa hauziwi bia maana hajafika 21(legal limit) akawa anawashangaa anahoji nimetoka vitani hamniuzii bia kisa bado mtoto Ina maana mnatuma watoto vitani??
 
1697533544159.jpg

Manchurian candidate anachongwa.
 
Kwani Tz kuna Genz ,😁 huku kuna machawa Genz wapo kenya tuu.
Hivi nini hasa mnataka? mnataka fujo mitaani au? kila kitu kama wa Kenya mbona msilikuwa nao hao Genz Panya road si mlikuwa mnalia kila siku. Kufanya fujo ndio imekuwa sifa. Yes Tz ina Genz lakini wanajielewa hakuna sehemu ufanye fujo halafu uachwe salama. Kama unawapenda Genz Kenya hamia tu hakuna hata visa free, Tz ni nchi ya amani hatuna ujinga huo. Fanya kazi hasira za maisha zisikufanye ukose busara tu.
 
Back
Top Bottom