Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana ๐Ÿผ

Hivi nini hasa mnataka? mnataka fujo mitaani au? kila kitu kama wa Kenya mbona msilikuwa nao hao Genz Panya road si mlikuwa mnalia kila siku. Kufanya fujo ndio imekuwa sifa. Yes Tz ina Genz lakini wanajielewa hakuna sehemu ufanye fujo halafu uachwe salama. Kama unawapenda Genz Kenya hamia tu hakuna hata visa free, Tz ni nchi ya amani hatuna ujinga huo. Fanya kazi hasira za maisha zisikufanye ukose busara tu.
Ona aibu basi.
Kusema wanajielewa!
 
Pia na waliopewa madaraka wayatumie vizuri kwa wanaowaongoza mavyeo kujikusanyia mahela ya wizi viburi na majivuno ya vina mwisho wake .Wananchi ni watu wema sana ila wanaowaongoza baadhi busara imewapungukiwa.
 
Gen Z wa Bongo bado yupo shule saa hii, anafundishwa Contemporary Cross-Cutting Issues, Life Skills, The rise of Capitalism in Europe na Rise of Democracy in Europe!
Ondoa wasiwasi mkuu!
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nimecheka Sana au anakariri halo hellena lile Beberu..
Au anafundishwa Lack of Capital, poor Policy au Anafundishwa Nationalism ya Africa ya Kusini na Nyerere na kina Kaunda na Samora Machel ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hivi nini hasa mnataka? mnataka fujo mitaani au? kila kitu kama wa Kenya mbona msilikuwa nao hao Genz Panya road si mlikuwa mnalia kila siku. Kufanya fujo ndio imekuwa sifa. Yes Tz ina Genz lakini wanajielewa hakuna sehemu ufanye fujo halafu uachwe salama. Kama unawapenda Genz Kenya hamia tu hakuna hata visa free, Tz ni nchi ya amani hatuna ujinga huo. Fanya kazi hasira za maisha zisikufanye ukose busara tu.
Hebu weka hapa picha ya makalio yako ili niweze kureply Post yako.
 
GSaWkgbXIAAaoKR.jpg
 
Tuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama

Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani?

Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi

===
Soma Breaking News: - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
Dunia itakuwa mahali salama,endapo tutaheshimuana kwa kuwepo usawa,bila matabaka ya wenye nacho wasio nacho,walio wezi wakodi za walipa kodi na wasio wezi na pia kutambulika na kuthaminiwa wavuja jasho ambao ndio walipa kodi na wazalendo wa kweli.๐Ÿซ 
 
Back
Top Bottom