Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

Watakuwa Magaidi wa Hamas Marekani hawawezi kufanya hivyo hao ni magaidi msitake kupotosha dunia.
Magaidi wa hamasi wangempiga Biden na sio trump ambaye hahusiki na chochote kinachofanywa na serikali ya USA kwa kipindi hiki.
 
Gen Z tuna jambo letu mwakani, hapa apa Tanzania vizazi vingine kaeni mkao wa kutupokea na kutusapoti.
 
Inawezekana dogo hakutumwa wala nn, wamarekani wana uwendawazimu mkubwa sana, ile tu kuwa alihusika kumpiga mgombea urais risasi ni sifa kwake hata akiwa kuzimu.

Kwani haiwezekani pia kuwa trump anatafuta kura za huruma kutoka kwa wamarekani?
Mimi pia hilo nimelifikiri kuwa yawezekana muhusika katumwa na watu wa trump mwenyewe na trump mwenyewe alijua kuwa tukio hilo litatokea iwe kapata kiki katika kampeni zake.
 
Pia na waliopewa madaraka wayatumie vizuri kwa wanaowaongoza mavyeo kujikusanyia mahela ya wizi viburi na majivuno ya vina mwisho wake .Wananchi ni watu wema sana ila wanaowaongoza baadhi busara imewapungukiwa.
Mimi nakubaliana na wewe siungi mkono ufujaji wa pesa na kujikwaza lakini je tuna mbadala? kuondoka mmoja na kuleta mwingine hakuna maana ndio utafanikiwa. Hata CCM hawa hawa kuna awamu watu alifurahia kuliko zingine. Kitu pekee siungi mkono fujo hilo hapana lakini pia nchi za Africa yamefanyika sana mabadiliko wengine kupinduliwa ila kuna nchi yoyote imebadilika kiasi cha kusema yes..... Nchi za kiarabu zilipitia huko je ilileta tija? jibu NO
 
Watakuwa Magaidi wa Hamas Marekani hawawezi kufanya hivyo hao ni magaidi msitake kupotosha dunia.
Magaidi wamuue trump kwa kosa gani wakati kwa Sasa sio kiongozi wa serikali?!. Ingekuwa kajeruhiwa Biden hapo kweli tungewashuku magaidi wa hamasi lakini kwa hili ni kama yule kijana aliyempiga kofi Mzee rukhsa hatuwezi kusema kwamba alitumwa na watu Fulani afanye aliyoyafanya.
 
Sasa unadhani nani kama siyo Hamas? Marekani wamestarabika hawawezi kufanya hivyo hao ni magaidi wa Hamas.
 
4fb11a0f-6244-455b-b983-d6126b9f0a8b.jpeg
 
Back
Top Bottom