Nani kampiga risasi Trump?
Tabia ya kuua kwa risasi viongozi wao imekuwa ni ya mazoez na kawaida kwa Wamarekani. Hii ndio sababu Marekani linatajwa kuwa ndio taifa pekee ambalo sehemu kubwa ya bajeti yake hutumika kwenye masuala ya kiusalama
Inaelezwa asilimia 65% ya bajeti hutumika kwenye sekta ya usalama kwa maana ya kuilinda nchi dhidi ya maadui,kulinda raia na pia kulinda viongozi wao.
Kwa mujibu wa mtandao wa Wikipedia kati ya marais 46 walioongoza Marekani,marais 4 waliondoka madarakani kwa kuuawa.
Hii ni uzembe wa idara ya usalama Marekani kushindwa kulinda viongozi na kuruhusu silaha za moto kuwa mikononi mwa rais? au ni umahiri wa raia watukutu wa Marekani!?
Wauaji wa hao marais 4 wote walipatikana na wao waliuawa,lakini tangu kutokea tukio la jaribio la kuuawa kwa Trump mamlaka za kiusalama zimemtaja kijana wa miaka 20 aitwae Thomas Mathew Crooks kama muhusika wa tukio hilo la Kigaidi.
Orodha ya marais waliouawa ni hii:
1. Abraham Lincoln( rais wa 16 ),
2. James A. GARFIELD(Rais wa 20 )
3. William Mcknley( rais wa 25)
4. John F. KENNED( rais wa 35)
Mbali na hao, marais watatu walijeruhiwa katika jaribio la kuuawa kwao, Dolad Trump ameongeza idadi ya majeruhi kufikia wanne jana tarehe 13/07/2024.
Maswali ya kujiuliza ;
(1) je, bwana mdogo Thomas Mathew alitumwa kumjeruhi au kumuua Trump?
(2) je, Thomas alitumwa na nani kuyatenda aloyatenda?
(3) je Biden anahusika?
(4) je,tukio hilo litaathiri Kampeni na uchaguzi ujao Marekani!?
Kwa kujadili swali namba 1 hapo juu,ungana nami kuamini kwamba bila shaka yoyote Trump ni kiumbe mwenye bahati kuliko kiumbe mwingine yoyote duniani hapa!
Undani wa taarifa hizi utazipata kwenye kitabu cha 'HAWATOSAHAULIKA' kitakachokuja siku chache zijazo
Galacha wa Kalamu✍️