Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Yaani hao jamaa wa marekani unawaita watoto wako? Ukimaanisha ni wapo na haiba moja na vijana wa kitanzania?
Hao wapuuzi wanaishi maisha tofauti sana ukilinganisha na huku Africa. Wengi wamelelewa na mzazi mmoja wasiyemuheshimu, hawazijui shida za maisha na ndio sababu wanashinda mitandaoni, wanaishia kufuata ideologies kutokana na matatizo ya akili, upweke na depression. Na kwakuwa silaha zimejaa kama njugu huko kwao, matokeo yake ni wanaenda kufanya mambo ya ajabu na kumaliza hasira zao kwa kutandika risasi wanafunzi shuleni, madukani, kwenye movie theaters au kama hivyo, wanambutua mgombeaji risasi za kichwa.
Those motherfukers are mentally fuked up. Ni circumstances na matokeo ya kimazingira na tamaduni. Tofauti na huku kwetu kwenye umasikini, vijana umri wa huyo mshenzi wapo shule ili kukomboa umasikini wa familia na kusaidia wazazi wao wanaoanza kuchoka. Kama sio hivyo basi ni kibaka, mvuta bangi anayebeba taka. Yaani mtu aache kutafuta hela ya kula aanze kumfikiria kiongozi fulani anafanya nini, atafute silaha tena bunduki ili ammalize? Hiyo ni movie huku kwetu.
Kumuita mwanao huyo mzungu ni kama Bata kuzaa Popo aneyetaga.