johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna lolote,acha kuwakuzaKijana wa miaka 20 huko majuu huwezi kumfananisha na utopolo wa Bongo.
Hao wanajielewa sana sana
Sgr,barabara, hospital na irrigation schemes ni kwa ajili ya matumbo yaoUnataka kusema nini haswa? Funguka uelewekeโฆ kwamba hata sisi hapa Tanzania tuwakalie chino hawa Gen Z au ? Vio hizi wa focus na people centred development sio matumbo yao.
Huku bongo ndo CHAWA aina ya Magonjwa Mtambuka,na Lucas Mwashambwa ๐คฃ๐Kijana wa miaka 20 huko majuu huwezi kumfananisha na utopolo wa Bongo.
Hao wanajielewa sana sana
Mwambie mtawala/ccm aache kuwadhulu akina Sativa, kuwateka watu, kuwaua ili Tanzania iwe salama kabla ya kwenda nje ya tanzaniaTuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama
Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani?
Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi
Betting?Mwambie mtawala/ccm aache kuwadhulu akina Sativa, kuwateka watu, kuwaua ili Tanzania iwe salama kabla ya kwenda nje ya tanzania
20 yrs kwa nchi za wenzetu huwezi kumuita mtoto ndugu yangu,wengi unakuta ameshaondoka na nyumbani anajitegemea...Tuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama
Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani?
Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi
===
Soma Breaking News: - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
Kwani Tz kuna Genz ,๐ huku kuna machawa Genz wapo kenya tuu.Gen Z wa Bongo bado yupo shule saa hii, anafundishwa Contemporary Cross-Cutting Issues, Life Skills, The rise of Capitalism in Europe na Rise of Democracy in Europe!
Ondoa wasiwasi mkuu!
Hivi nini hasa mnataka? mnataka fujo mitaani au? kila kitu kama wa Kenya mbona msilikuwa nao hao Genz Panya road si mlikuwa mnalia kila siku. Kufanya fujo ndio imekuwa sifa. Yes Tz ina Genz lakini wanajielewa hakuna sehemu ufanye fujo halafu uachwe salama. Kama unawapenda Genz Kenya hamia tu hakuna hata visa free, Tz ni nchi ya amani hatuna ujinga huo. Fanya kazi hasira za maisha zisikufanye ukose busara tu.Kwani Tz kuna Genz ,๐ huku kuna machawa Genz wapo kenya tuu.
Watakuwa Magaidi wa Hamas Marekani hawawezi kufanya hivyo hao ni magaidi msitake kupotosha dunia.Tuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama
Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani?
Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi
===
Soma Breaking News: - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
Mambo mengi ya US yanaigwa kila kona duniani, ipo siku huku nako watamyatulia risasi mgombea jukwaaniTuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama
Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani?
Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi
===
Soma Breaking News: - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara